Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

That’s not an electric vehicle acha kulazimisha maneno. Wewe ushaiona electric vehicle with an engine?Cause obviously hiyo gari umepost has engine😂😂😂
Acha upumbavu engine imetolewa hapo imewekwa motor locally converted to electric. Shifting towards e-mobiliy in our parks.
 
Mbagala hakuna estates? 🤣 🤣
Dar es salaam is not Naikundu kwa mawazo yako unadhani watu wanaoishi mbagala wamechoka 🤣 🤣 🤣 🤣

Mbagala Mtoni Kijichi, Temeke for Sale





 
Unataka mitaa zaidi ya 1000 iliyopo Dar tuanze kuweka kila mtaa hapa? huo ni upumbavu. We know Kundustan is dead. Nothing going on in Naikundu
Ju unajua hakuna cha maana in dar is a slum. Uswazi hovels kila mahali with roofless bathrooms. 🤣 🤣
 
Kwa hivyo hii ndio estate? 🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…