Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Alafu source ni chanzo.com.🀣🀣🀣
Ebu mulize walifanya comparison nchi gani ya East Africa alafu wakapata hao wako na gari ngapi and number two had how many electric vehicles πŸ˜‚πŸ˜‚.

Finally atuonyeshe hizo gari anazoongelea ziko wapiπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Tunapo zungumzia eneo la mji hatuhusishi eneo la bahari ni nchi kavu tu.Hapo tunatafakari nn
 
ndio maana politicians watabakia kua matajiri mpaka kufa na nyinyi mutabaki kua maskini mpaka kufa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Sasa umekasirika sababu nimekuambia watanzania wafuatilia Kenya sana? Kwanza wewe ndio huwa unafuatilia Kenya kuliko wote.

By the way, ebu nionyeshe politician wa Bongo mwenye ni maskiniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚
 
Mchezaji wao wanamchora mpaka kwenye magari lkn Yanga anakaa benchi na mechi kibao haingii, football nation πŸ‡ΉπŸ‡Ώ πŸ‡ΉπŸ‡Ώ πŸ”₯ πŸ”₯
 

Attachments

  • 1728475671555.jpeg
    586.5 KB · Views: 24
  • 1728475807363.jpeg
    760.4 KB · Views: 23
Mchezaji wao wanamchora mpaka kwenye magari lkn Yanga anakaa benchi na mechi kibao haingii, football nation πŸ‡ΉπŸ‡Ώ πŸ‡ΉπŸ‡Ώ πŸ”₯ πŸ”₯
View attachment 3119926View attachment 3119927View attachment 3119928
Uko na akili za ujinga na uwatchman kweli kweli, so huyo pekee ndio Abuya Kenya?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚

For your information hiyo Abuya bus company ilianzishwa in the 1990’s and it has been there throughout. But you are stupid and foolish, you only know of one Abuya from KenyaπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…