Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii mlipata usaidizi kutoka kwa LSHS ya Kenya, usidhani watu ni wajinga hapa. Mabasi zote za Dar coach huwa wanapewa usaidizi na LSHS๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚
haha nadhani ulikuwa hujazaliwa wewe, quality group imekuwepo kabl ya hata LSHS. basi la kwanza kuwa choo ndani kwa east africa(fresh ya shamba) lilitengenezwa hapo.
 
Wamenunua basi mbili mbili saa zingine Sifa hadi zikafika 20. AMA ulitaka wanunue 20 at a go?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
basi kwa taarifa yako BUSCAR hana magari yanayofikia 40 kwa nchi nzima. pia kununua gari mbilimbili ni kwa sababu hana hela. BM COACH kila mwezi analeta magari 4 na ni kampuni ndogo sana kwa abood, shabiby , newforce, super feo na the like
 
Wamenunua basi mbili mbili saa zingine Sifa hadi zikafika 20. AMA ulitaka wanunue 20 at a go?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
wananunua mbilmbili kwa sababu hawana uwezo wa kununua fleet ya magari hata 10 kwa pamoja.
pia kama ananunua mbilimbili basi mpaka saa hii alitakiwa awe na magari mapya 20 wakati magari mapya ya BUSCAR yaliyopo barabarani kwa mwaka huu hayafiki 5.
 
Article lote hilo jibu hamna,hivyo vitu vyote vinamsaidiaje mkunya wa hali ya chini ikiwa kwenye usafiri wa umma anakutana na tetenasi ukija kwenye makazi anakutana na nyumba za bati surounded na uchafu
 

Attachments

  • f97a51f7f7e24d491bf08bb2d7387f2b.mp4
    673.4 KB
haha nadhani ulikuwa hujazaliwa wewe, quality group imekuwepo kabl ya hata LSHS. basi la kwanza kuwa choo ndani kwa east africa(fresh ya shamba) lilitengenezwa hapo.
Basi zao zote huwa wanapelekea LSHS for finishing. Usidhani sisi wajinga๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
basi kwa taarifa yako BUSCAR hana magari yanayofikia 40 kwa nchi nzima. pia kununua gari mbilimbili ni kwa sababu hana hela. BM COACH kila mwezi analeta magari 4 na ni kampuni ndogo sana kwa abood, shabiby , newforce, super feo na the like
Thereโ€™s a time I counted them here hadi zikafika 60, sasa wewe hizo 40 unazoongelea ni gani?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Thereโ€™s a time I counted them here hadi zikafika 60, sasa wewe hizo 40 unazoongelea ni gani?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Kuhesabu sio evidence Leta reliable source. Tafuta hata fundi akuambie tu ukweli na ubaki na ukimyaa wako ukijua ukweli au nenda yard kwao uone zilizopo yard zidisha mara mbili ukipata 40 njoo
 
Kuhesabu sio evidence Leta reliable source. Tafuta hata fundi akuambie tu ukweli na ubaki na ukimyaa wako ukijua ukweli au nenda yard kwao uone zilizopo yard zidisha mara mbili ukipata 40 njoo
Kama kuhesabu sio evidence word ya fundi ndio hutamini?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚.

Acha tuhesabu tena๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃnaanza their latest purchase, of Emirata E3

1. Nico Williams




2. Lemine Yamal.


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ