Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hata kwa umbali wa mita 200 ushawahi kuona hizi .? πŸ‘‡πŸΎView attachment 3118652πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Unamchanganya anajua maana hata ya EMU ?
hivi kwa muda wa miaka yote toka wameanza kufanya kazi washafikisha hata nusu ya mabehewa ambayo tanzania imeshayapokea au kununua.
EMU= 10
mabehewa 56= toka korea hayo
mabehewa 30 toka ujerumani yashatoka ujerumani.
vichwa vya umeme=17
kwa hiyo idadi itawachukua wakenya karne mbili kufikisha hiyo batch
 
This Year alone Buscar has bought 20 buses from Master. Na hujue bus yao moja can buy 5 of those chinese busesπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
leta data au walau picha za buscar kwa gari zilizonunuliwa kwa mwaka 2024. nachoweza kukuambia jumla ya fleet ya buscar haivuki 40 na mwaka huu kanunua bus zisizozid 5.
 
Looks like ava haina msaada wwt kwa kunyan,how come mna ava lakini mnapanda maisuzu ya 1990View attachment 3118659
Kenya is not backward like your country. We have several bus builders, kwa wale wenye pesa kidogo kama Eldoret Express go to KVM, wale wenye can afford good money go to Master, AVA, Banbros and LSHS.

Pia tuko na hii by the name IDENTITY, it started operations last year. It was established by former Master Fabricator employees, that’s why they try to mimic Master buses.


 
hiii ilitengenezwa Tanzania miaka kumi iliyopita na it looks attractive than this makanganya of yours. huko sisi tushatoka
 
evidence ya BUSCAR kununua mabasi 20 kwa huu , vipi umeikosa
happy nation 2024

View: https://www.tiktok.com/@happy_nation_ambassador/video/7411398758941936901?is_from_webapp=1&sender_device=pc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…