Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huyo jamaa amekuumiza kichwa hadi ukaenda kuperuse page yake?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Does those tweets change the truth he told Magufuli? Kwani ulitaka anyamaze once amekemea Magufuli on his deathbed?πŸ˜‚πŸ˜‚
Ananifollow na pia tunapiga stori za hapa na pale sometimes kama kuna topic ya kudiscus.
 
We unaleta hii stadium ya kuingia watu 2k naakati sisi tunapiga 60k spectactors full house.
60k spectators wa kuingia free of charge. Again that 60k only happens when it’s Yanga Vs Simba, other games can’t even attract 500 fansπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£.

Anyway enjoyπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

 
Fala amekosa come back akaanza kuongea about stadium capacity. 🀣 🀣
 
Ni matches zaidi ya 200 ambazo ni full house hapo Lupaso stadia na nyingi kati ya hizo si simba vs Yanga. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ do you want me to show you some.?
 
Ni matches zaidi ya 200 ambazo ni full house hapo Lupaso stadia na nyingi kati ya hizo si simba vs Yanga. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ do you want me to show you some.?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…