NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,284
- 19,626
Eti modern car, kwani unadhani Toyota wanaunda nini? Every city has its own rules and dynamics, Dar is a slum tuktuk zimejaa kama mende kwa kabati yako but you think you are so special ju hamkubalishi daladala za 14 seater. 🤣 🤣 🤣
🤣🤣 Huku ni uswazi tupu. Hata usiseme.usisahau kufika dar is slum
Nchi maskini sana hii, lakini kelele ni za chura. 🤣 🤣 🤣Vumbistan 70% ya transport kwa town ni tuktuk. Imagine hapa ni CBD main street.
View attachment 3111364
Naona beautiful arrangement. Kundudwellers hawana. Naona mitaani ni misafi. Hapo ni Moshi siyo?Vumbistan 70% ya transport kwa town ni tuktuk. Imagine hapa ni CBD main street.
View attachment 3111364
Kunyan kama vipi waanzishe uzi tarakea vs naikunduKwenye hii picha ukiacha public transport, naona mikebe ya hatari aloo, kweli Tanzania kuna pesa View attachment 3111251
Hadi gari ya 1997 unaweza import. 🤣🤣 Na bado munatembea kama mifugo. Enyewe umaskini ni mbaya. 🤣🤣🤣So hii ndio prove ya importing? 🤣 🤣 🤣 🤣
JARIBU TENA
Kwa kukusaidia pitia hapa.
Kwanini tuhangaike na hizi vipanya we mtu mzima mpumbavu.? Kwani hizi habari wewe hawa huzianagi au.? 👇🏾Hizi watazipata 2044 🤣🤣🤣
Tuanzie hapa sasa. UsikikimbieVumbistan 70% ya transport kwa town ni tuktuk. Imagine hapa ni CBD main street.
View attachment 3111364
Gari hazitengenezwi hizo mzee. Also check kiasi cha kodi utakachopigwa.Hadi gari ya 1997 unaweza import. 🤣🤣 Na bado munatembea kama mifugo. Enyewe umaskini ni mbaya. 🤣🤣🤣
View attachment 3111367
Kwa hivyo hizi zitatumika hadi Moshi na Mwanza? 🤣 🤣 🤣Kwanini tuhangaike na hizi vipanya we mtu mzima mpumbavu.? Kwani hizi habari wewe hawa huzianagi au.? 👇🏾
View: https://youtu.be/wZaZb3_6t_8?si=sxcfseh1qm3KODwW. Yani una force tufanane kwa fujo huoni aibu.? 😂😂😂 nyinyi mtafika huku 50 years to come.
Mwanza tupo na Electric SGR. Hizo kwaajili ya BRTKwa hivyo hizi zitatumika hadi Moshi na Mwanza? 🤣 🤣 🤣
Kwani sisi ndio tuliwaambia mukubalishe importation za mikebe. 🤣🤣🤣Gari hazitengenezwi hizo mzee. Also check kiasi cha kodi utakachopigwa.
aibu ni kwamba mulisema munamtoa ruto lakini mpaka kesho yupo anawakanyaga mbaya 😂😂😂😂Bongoslum imejaa wanaume waoga tunajua hamuwezi andamana, mama yenu amewafinya mak*nde hamna ujasiri hata kidogo. 🤣 🤣 🤣
Coating inafanyika Nzega Tabora.Hii kitu itawauma Kundudwellers hadi kizazi cha 10
View: https://x.com/EACOP_/status/1840750431913574745
20 years ago 🤣🤣🤣
Aibu ni nyinyi wanaume wote bongoslum kufinywa mak*nde na mama. 🤣 🤣 🤣aibu ni kwamba mulisema munamtoa ruto lakini mpaka kesho yupo anawakanyaga mbaya 😂😂😂😂
Nakumbuka mara ya mwisho Probox kutengenezwa ni 2002. Lakini ndio zinanunuliwa kwa wingi Kundustan. Tuambie mnazitoa wapi? 🤣 🤣 🤣Kwani sisi ndio tuliwaambia mukubalishe importation za mikebe. 🤣🤣🤣
Kwani hapo nairobi nyie mko na buses like I posted.? 😂😂😂 au unajitua ujuha.?Kwa hivyo hizi zitatumika hadi Moshi na Mwanza? 🤣 🤣 🤣
Acha matusi. Hii ni forum ya wastaarab. Ebo!!Aibu ni nyinyi wanaume wote bongoslum kufinywa mak*nde na mama. 🤣 🤣 🤣