Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hapo inajengwa city park na other recreational facilities za nguvu na pia mto msimbazi unatengenezwa vizuri kuhimili flood water pamoja na miundombinu ya barabara especially kutokea fire kutakuwa na barabara elevated kuelekea Magomeni.
kwa hiyo lile bonde la msimbai linaenda fanyiwa manouver
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚We mpuuzi yani mleta habari Mkenya mwenzenu!??
Umepagawa wewe.
Mtaficha na kulia sana lakini ukweli utabaki ule ule 🀣🀣 Magufuli alikua Nairobi hospital ICU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…