Muda wa kuyakera haya ******* yakimbie tena kama jana, football nation 🇹🇿 🇹🇿 🔥 🔥 🔥 🔥
View attachment 3103440
Wewe mpuuzi unajua vita ngapi tunapigana wakati huo, Mozambique, Zimbabwe, Angola, Namibia, South Africa tunakabili, Seychelles tumefanya mapinduzi na kuendelea kuyalinda mpaka 1990 same na waasi wa Renamo Mozambique. Tumeingia Uganda. Unajua gahrama za hizi vita zote?Umesema tumewashinda uchumi kisa mlikomboa nchi za Africa, nimekujibu kwamba uchumi wetu ulishinda wenu mwaka wa 2005. Sasa sahii unarudi kwa sijui shilingi kudevalue. Hivi unajielewa kweli? Shilingi kudevalue is just a sign of economic downfall, not the cause. Wewe nijibu ni nchi gani mlikomboa mwaka wa 2005 ndio tukawashinda uchumi?
Ujue hiyo ni shule Maalum ya serikali. Yani ukilinganisha hiyo na hii MPESA School yetu ambayo ni shule maalum ya serikali utacheka tu. 🤣 🤣Enyewe ushamba ni mbaya. 🤣 🤣 🤣 Ile shule nilisomea high school walikua wanatumia gas na sikuwai ona ikiwa kitu ya maana. Kumbe ni jambo la kushangaza huko bongoslum. 🤣🤣🤣
Ni rasmi sasa football nation tunaikomboa mijitu mizembe from EA kwenye soccer kama kawaida yetu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Tayari mnyama pori kamrarua mwarabu lupaso
Bro, naongelea 2005 wewe upo miaka ya 1990s na 70s. Uchumi wenu mbovu ni kutokana na ufisadi na uvivu. Wacheni kudanganyia eti sijui ukombozi ama nini. Kama huo ukombozi ndio ulidorora uchumi wenu mbona ukawa juu hiyo miaka na ukazorota baadaye mwaka wa 2005 hadi tukawapiku?Wewe mpuuzi unajua vita ngapi tunapigana wakati huo, Mozambique, Zimbabwe, Angola, Namibia, South Africa tunakabili, Seychelles tumefanya mapinduzi na kuendelea kuyalinda mpaka 1990 same na waasi wa Renamo Mozambique. Tumeingia Uganda. Unajua gahrama za hizi vita zote?
Ziko maporiniAlafu hii ni shule ya Kijijini, ile yake ipo mjini tena mji wao mkubwa. 🤣 🤣
LPG IdiotGas ya mavi ya ng'ombe au ya binadamu??
We naye hebu kwenda bhn wee economy unajua maana yake wewe? Economy yenye madeni kuliko mlicho nacho, economy inayoshindwa kufanya miradi kwa pesa za ndani, economy inayozalisha ma slums everywhere, economy inayoomba mpaka vitu vidogo tu kama stadium, economy isiyokuwa inclusive, economy inayoacha watu wafe njaa, economy inayopewa msaada wa chakula mpaka leo 2024. Hebu tutokee huko.Bro, naongelea 2005 wewe upo miaka ya 1990s na 70s. Uchumi wenu mbovu ni kutokana na ufisadi na uvivu. Wacheni kudanganyia eti sijui ukombozi ama nini. Kama huo ukombozi ndio ulidorora uchumi wenu mbona ukawa juu hiyo miaka na ukazorota baadaye mwaka wa 2005 hadi tukawapiku?
Bro, toa hapa huu uchafu unajiaibisha. Alafu kama Ubungo ni porini basi Dar ni pori. 🤣 🤣 🤣
Nimekuambia vyema tu, hali ya uchumi iliamza kuwa mbaya sana hasa baada ya nyinyi mbwa kuiba assets za jumuiya ya EA, sisi kufunga border na nyie na kuingia kwenye mavuta na Renamo, visiwani Seychelles na hasa Uganda. Tunatoka hapo mashirika mengi yanaaza kufa taratibu na kufa rasmi kadri muda ulivyozidi kwenda.Bro, naongelea 2005 wewe upo miaka ya 1990s na 70s. Uchumi wenu mbovu ni kutokana na ufisadi na uvivu. Wacheni kudanganyia eti sijui ukombozi ama nini. Kama huo ukombozi ndio ulidorora uchumi wenu mbona ukawa juu hiyo miaka na ukazorota baadaye mwaka wa 2005 hadi tukawapiku?
Wewe mtu mzima mpumbavu kuanzia useme kupata dhahabu ni bahati na si technology nimekudharau ****** wako wewe. 😂😂😂 sikuchukilii serious kabisa bichwa box weweBro, toa hapa huu uchafu unajiaibisha. Alafu kama Ubungo ni porini basi Dar ni pori. 🤣 🤣 🤣
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Wewe mtu mzima mpumbavu kuanzia useme kupata dhahabu ni bahati na si technology nimekudharau ****** wako wewe. 😂😂😂 sikuchukilii serious kabisa bichwa box wewe
Bro, a typical Tanzanian village school looks like this. Danganya mwenye hajawai fika Tanzania. In fact nilikuambia uniletee picha tu Moja ya village public primary school hapo Vumbistan yenye haina tiles hutoweza.
View attachment 3103416View attachment 3103417
Umetoka kwa ukombozi umeenda kwa EAC tena? Naona umeishiwa bradhee. 🤣 🤣 🤣Nimekuambia vyema tu, hali ya uchumi iliamza kuwa mbaya sana hasa baada ya nyinyi mbwa kuiba assets za jumuiya ya EA, sisi kufunga border na nyie na kuingia kwenye mavuta na Renamo, visiwani Seychelles na hasa Uganda. Tunatoka hapo mashirika mengi yanaaza kufa taratibu na kufa rasmi kadri muda ulivyozidi kwenda.
Hakuna uchumi mliotushinda. Nyie mna njaa tangia uhuru mkapa leo mnaokota vitu road na kula.Umetoka kwa ukombozi umeenda kwa EAC tena? Naona umeishiwa bradhee. 🤣 🤣 🤣
Anyway, EAC imevunjika mwaka wa 1977, uchumi wetu umezidi wenu mwaka wa 2005. Huoni unajikanganya. Leo nimekushika makende sikuachilii. 🤣🤣🤣
Huna akili ya kujadili mambo na dada wa Kikenya wewe Kenya. Find a fellow idiot like yourself hapo Vumbistan. Mkenya humwezi.
View: https://www.instagram.com/reel/C_43tJPIXYn/?igsh=ZGl6amRzMXlsbzB5 huyu dada yenu nataka nioe,looks kenya wanawake ndio wenye akili ndio uwa wanawapiga midume,angalia anachokiongea huyu dada