Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kunyaland ukute shule ya public ipo hivi na wanapikia gas? Kama kuweka tu tiles mpaka headmaster anapekua barefoot 😂😂😂

View attachment 3103383
Enyewe ushamba ni mbaya. 🤣 🤣 🤣 Ile shule nilisomea high school walikua wanatumia gas na sikuwai ona ikiwa kitu ya maana. Kumbe ni jambo la kushangaza huko bongoslum. 🤣🤣🤣
 
Guideline za ujenzi wa shule za serikali Sasa hiv ni marufuku kutokuweka tile
Bro, a typical Tanzanian village school looks like this. Danganya mwenye hajawai fika Tanzania. In fact nilikuambia uniletee picha tu Moja ya village public primary school hapo Vumbistan yenye haina tiles hutoweza.

Shule gani hii,
Kama ni picha ya before 2023 sawa lakin at this moment shule zimeboreshwa. Nitajie ni shule gan na wapi na hata kama IPO jua Kuna shule Iko inajengwa kando ya hiyo ili hiyo ije ifungwe ila Nina uhakika shule nyingi zimeboreshwa
 
Nionyeshe Moja ya village schools zenye tiles. Moja tu
 
Huyu mkenya ajagundua gloves, ameongeza tu ya kwakwe kwenye kitu kilichovumbuliwa kabla hajazaliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…