Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ranks zinaendana na ukongwe Wa chuo ukongwe Wa chuo hipata ranks za juu kulingana na wingi Wa wasomi waliozalishwa.......hivyo ubora wao Wa vyuo ndiyo hupimwa kwa kiwango hicho

acha ushamba ranks si kitu
Chokora we unajua nini
 
Haha kwani what does the ranking show you... By ranking you know quality output my friend... Wewe sidhani kama ulifika University, unaongea tu kama villager
Ona sasa unavyojiaibisha. Output ndio ina determine qulity of education siyo idadi ya vyuo.
Vyuo vichache with many faculties. Siyo kila faculty mnaundia chuo chake huo ni ujinga na inafanya nchi ishinde ku manage vyuo vyake. Ndio maana kenya output is zero.
 
my friend ongea na evidences..Alshabab ni treat dunia nzima..DRC ni civil wars na mnashindwa
 
output ya kenya ni zero na multi nationals wanakimbia huku..achaga kufikiria kama kondoo
 
Let's do this, mention Tz's top brains who work or have been exported to work in different international organizations.
 
Apart from the global win, this year, Kenya also scooped the Africa’s leading beach destination award, the Africa’s leading national park award and the Africa’s leading tourist board award from the World Travel Awards.
 
Una mawazo ka yangu nashangaa y UN hawaombi msaada kwa Tz tukamalizane na wahuni wa somalia....
 
Hivi hii battle itaisha lini [emoji10][emoji10][emoji10][emoji10]
 
my friend ongea na evidences..Alshabab ni treat dunia nzima..DRC ni civil wars na mnashindwa
Hakuna cha threat dunia nzima wala nini?, M23 walikuwa wanatikisa dunia, Obama kila mara alikuwa akimuonya Kagame na Mseven wasiwape silaha wahasi, UN kwa mara ya kwanza tangu imeundwa iliamua kuvunja kanuni ya peace keeping mission na kuruhusu vikosi vilivyo chini ya UN kupigana na adui badala ya kulinda amani, nchi ya kwanza kufikiriwa kuunda kikosi kwenda kupigana na M23 Iliyokua full armed na kupata full support toka Rwanda na Uganda ni Tanzania. Alshaabab hawajawahi kukutana na jeshi lenye nguvu ndiyo sababu unaona wanasumbua, ngoja TPDF wafike hapo kama kutakuwa na Alshaabab
 
Una mawazo ka yangu nashangaa y UN hawaombi msaada kwa Tz tukamalizane na wahuni wa somalia....
hawaezi kuwaomba Tz msaada maanake Tz wanataka kuona Kenya ikianguka ili wapate biashara na kuendeleza uchumi wao na Kenya ndio kizingiti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…