Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Eti Kikuyu campus-education arts
That shows, hicho chuo ni cha kabila la Kikuyu,luo au kisii akija kusoma hapo anaonekana kama wakuja na sio mkenya. Kenya ni nchi ya hovyo sana.
 
Wanatengeneza nini?
Hata HP kuna vitu vingine hawatengenezi wao. Hebu sema ukweli hapa hako ka company kanatengeneza kifaa gani cha kwenye computer?
Sasa ukileta siasa mingi laptop inaitwa TAIFA kwani inakuuma....processes zingine za manufacturing hatutaki huku.
 


Emma Brenda Wanjiru


yaani wewe ni Bonge la comed tena usiye na malipo ....yaan hata haujishtukii graphic designer wamejaa hapa utaumbuka[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]

wanjiru family ha haaa
 
Eti Kikuyu campus-education arts
That shows, hicho chuo ni cha kabila la Kikuyu,luo au kisii akija kusoma hapo anaonekana kama wakuja na sio mkenya. Kenya ni nchi ya hovyo sana.
Kikuyu is a place pia......kama tu unyamwezini you dimwit
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…