Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hee! Kwanza umeelewa ulichoandika kwanza? Nadhani jibu lako liko more relatable huko Kwenu Kenya kuliko Tz "Kunyang'anya ardhi"

Alafu acha mambo ya kiwaki mara ngapi mpo hapa kubrag na vitu vya mkoloni lugha ikiwa kinara.

Mambo ya kuplay innocent hayakusaidii Teargas akileta kila kukicha picha za Ikulu akisema nzuri etc.

Mnapoleta kelele kuwa tuko nyuma miaka 30 hua ina maana gani ikiwa wewe kuambiwa mliishi msituni inakuuma eeh?
 
Kwani kwa Amina Mohamed ilikuaje Kundurenda hawana ushawishi Hata kidogo Africa nafasi ya Dr Ndungulile hatukuenda ikulu kufungua kampeni lakini kashinda achana na Tanzania tuna muunga mkono lakini Rao hashindi hiyo nafasi ingekuwa Tanzania ndiyo tunaitaka mapema sana wala hatutumii nguvu nyingi
Kwani wamesahau kwenye kiti cha UN pia tuliwaunga mkono alaf wakaramba mchanga😅

Wewe Acha ujinga Kwan umesahau tuliwaunga mkono kwenye kiti cha UN na wakaramba mchanga hawa lazma tucheze nao kama watoto wadogo 😅😅😅😅😅

Subiri uone kama atapita Niko pale nimekaa😅
 
Kundurenda hawana ushawishi Africa Rao Hashindi
 
Wambie wakuonyeshe vitu kama hivyo huko kwao kama watavipata
 
This is how Tanzania operates in African politics. Hatuwahitaji Kundustan Tanzania inaheshimika Afrika na duniani kote


View: https://x.com/millardayo/status/1828497535251493238
Wabongo muwache ushamba, sasa hatutapumua just because you are late to the party.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…