Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tushatoka huko Mzee, nowadays ni WiFi na smart Tv. Hayo ni mambo yalikua 2014 huko
Hata wifi kwani ilianza leo!?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Hata wifi ni jambo la muda sana,ni maamuzi yako tu sio kila mtu ana opt kutumia wifi.
Yani 2014 miaka kumi tu ilopita karne hii hii!?
 
Kwani wewe kingereza ni lugha yenu tunaitumia tunavyo taka kwani unaumia na nini mimi kutokujua kingereza chenu
Hatukuli kiingereza, sasa si muanzishe coding language za Kiswahili.
🀣🀣🀣

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…