Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hoa maku ligi yao 1 na south sudan na somalia,njaa moto
Halafu unamletea takwimu za umoja wa taifa yeye anakuletea sijui takwimu za wapi.
Umoja wa Mataifa unasema kabisa Kenya ni miongoni mwa mataifa yanayohitaji msaada wa nje wa chakula,na hiyo ni ripoti ya mwaka 2024 mwaka huu july mwezi uliopita tu hapo.
Jinga sana hili jamaa.
Ukiachana na hilo Kenya ni miongoni mwa mataifa 28+ ya Afrika yaliyo katika orodha ya kupokea msaada wa chakula kutoka World Food Program(WFP).
Tena vyakula vingine vinachukuliwa au kununuliwa hapa hapa Tanzania na WFP.
Halafu jinga linashupalia shingo.
 
You resigned from your designation as sales representative?
Leo umekuja na sales representative?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£. Leo tena mimi sio chemist dispenser?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£. Kesho ntakuwa nini? Hawker ama?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
 
NairobiWalker here is your ukimwi guy aka watchman/Cleaner aka The best 007 πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡


Mtu alisema ati anaezakuwa one of these three; Watchman, cleaner ama cookπŸ€£πŸ€£πŸ˜‚
View attachment 3071151
So it’s not a joke.. Kumbe Best 007 ni Mlika Mwizi carrier kule Airport… it’s ok.. Kazi ni Kazi ..🀣🀣🀣🀣🀣
 
Kwanza kucha zenyewe zinakaa zimekatwa kutumia menoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

View attachment 3071088
Leo umekuja na sales representative?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£. Leo tena mimi sio chemist dispenser?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£. Kesho ntakuwa nini? Hawker ama?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
Pharma sales representative. what best can a pharmacy technician do ? Sales of generic products from India.
 
Pharma sales representative. what best can a pharmacy technician do ? Sales of generic products from India.
Who told you I’m a pharma technician? πŸ˜‚πŸ˜‚. Kwa akili zako Mtu wa sales hukuwa kwa analysis lab?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…