Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Asante for comparing yourself with a second year me. Huyo ndio level yako bwana watchmanπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£.

Now tell us kazi unafanya airport kama sio ya uwatchmanπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
Hebu nenda bhn we tafuta saizi yako mm nmekutesa miaka mingi iliyopita, sio rika lako mm.
 
Wewe watchman unitese na nini? Hivi ulifungua bank account ama bado unapanga foleni hili ulipwe mshahara kisha unaficha pesa chini ya kitanda?πŸ˜‚πŸ˜‚


Wewe hata ufanye nini huezinishinda in anything. Anyway kwa mambo ya simu I think wewe mwenyewe ulijionea bei ya simu yangu. That price can feed you for 3 yrears cause budget yako ni ndogo sanaπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hebu nenda bhn we tafuta saizi yako mm nmekutesa miaka mingi iliyopita, sio rika lako mm.
Obviously huwezikuwa rika yangu cause one; you are older than me, two you are watchman and I’m not and three I’m monied than youπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
 
Si this year tu mlipewa msaada wa chakula na USAπŸ˜‚πŸ˜‚
Ule msaada wa chakula uliusoma unahusu nini!?
Usipindishe mada kama kawaida yako,ule mchele ulitolewa kwa wanafunzi wa shule ya Dodoma tu sio kwa Tanzania nzima.
Pia Hussein Bashe ameukataa ule msaada na nadhani uliona yeye akikana huo msaada.
Aya tuambie ninyi Kenya vipi mpaka mmewekwa katika list ya kupokea msaada wa chakula na WFP!?
Si unajua nchi ikipokea msaada wa WFP inaashiria nini!?
 
Stop making noiseπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…