Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,191
- 107,783
Continue cooking figures. Ombaomba republic.Kuna Mpumbavu NairobiWalker anadai Wakundustani wana pesa kisa Vloger wa Ukunyani! Kunyaland si Nairobi!
Sisi tunajipigia 5 meals a day πKuna Mpumbavu NairobiWalker anadai Wakundustani wana pesa kisa Vloger wa Ukunyani! Kunyaland si Nairobi!
Nyoo....!! Chakula ulichonacho huwezi ku-cook figures! Utaendelea kwenda choo kwa hisani ya Mkulima wa Tanzania mpaka kufa kwako! Moody na Fitch wasingetupa credit rating nzuri!Continue cooking figures. Ombaomba republic.
Unasemaje hapa?πππUtaskia wanakwambia zimetoka Kenya ππ
View: https://www.instagram.com/reel/C-h0coatz5T/?igsh=MTlpaHl0b2xtY3FueA==
Mbona haifiki 23 kwann imekomea hapo hapo SASA πππππUnasemaje hapa?πππ
View attachment 3069938
Mmeizidi hadi japan haya tuambie maisha yenu na wajapan ni sawa?Unasemaje hapa?πππ
View attachment 3069938
Unasemaje hapa?πππ
View attachment 3069938
Sasa mbona gen zii wanalalamika eti maisha huko unyang'auni ni magumu?Unasemaje hapa?πππ
View attachment 3069938
Hawa ndio matajiri WA jamii forum πππ
From Kundurenda Teargas
Remember tumetoka 14 in May. Leo August tunaelekea 21, December tutakuwa 23πππ€£Mbona haifiki 23 kwann imekomea hapo hapo SASA πππππ
Maisha ya wakenya imeshinda ya watanzania.Mmeizidi hadi japan haya tuambie maisha yenu na wajapan ni sawa?