joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Hiyo ni kwa mujibu wa huko Kwenu, kigezo cha maendeleo kwetu ni mtu kuweza kumudu mahitaji ya msingi, chakula, malazi, matibabu na elimuView attachment 647015
- MODERN ......dar has nothing close to this level
View attachment 647017
Infrastructure ndio vigezo ya mendeleo.sio wingi wa maghorofa.eleweni hilo wa TZ
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwa watani zetu wa jadi mfumuko wa bei November ukoje?Inflation imeshuka kutoka 5.1 mpaka 4.4 in november 2017 😀😀😀😀😀
Asante uncle magu
Inflation rate drops 0.7 per cent
sasa naona ushalewa[emoji13] [emoji13]upanga ipatie hostel za university of Nairobi pekee
mbona madirisha yamekongoloka hayo wakenya VIP hawa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ni aibu kusema bro yani wanaumaskini usioelezeka😀😀😀Kwa watani zetu wa jadi mfumuko wa bei November ukoje?
Rangi zenyewe hazina utasema zilipigwa bomu😀mbona madirisha yamekongoloka hayo wakenya VIP hawa
Hapo ni Kericho, haiwezikani iwe Nairobi hapo, Nairobi ipo level ya Cape Town, haiwezikani hayo mazingira yakawa ni NairobiNALIAMSHA DUDE:
mwenye macho haambiwi tazama...bila shaka wote mnaona mazingira machafu hatua chache jirani na hayo majengo yao.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
NALIAMSHA DUDE:
mwenye macho haambiwi tazama...bila shaka wote mnaona mazingira machafu hatua chache jirani na hayo majengo yao.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ninachoipendea hii picha imepigwa sehemu zaidi ya moja.huwezi jitetea.NALIAMSHA DUDE:
mwenye macho haambiwi tazama...bila shaka wote mnaona mazingira machafu hatua chache jirani na hayo majengo yao.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
wanaleta picha za juu juu hapa walizopiga kwa kutegea angle nzuri Ila kwenye uhalisia hakuna kituNi aibu kusema bro yani wanaumaskini usioelezeka😀😀😀
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Hapo ni Kericho, haiwezikani iwe Nairobi hapo, Nairobi ipo level ya Cape Town, haiwezikani hayo mazingira yakawa ni Nairobi
poor life,mazingira machafu,poor people dah bila kusahau poor misifa..,..Nairobi ni kubaya maeneo mengi ni uchafuHuwa mnafananisha Kariakoo na UMOJA estates, Noma sana ni aibu, published 3 DAYS AGO.
Huruma, Umoja and 6 other Nairobi estates with most dangerous houses identified Read more: Huruma, Umoja and 6 other Nairobi estates with most dangerous houses identified
No such things in KARIAKOO
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji44] [emoji44] [emoji44] [emoji44] ndinda umeua panya kwa jembe.Huwa mnafananisha Kariakoo na UMOJA estates, Noma sana ni aibu, published 3 DAYS AGO.
Huruma, Umoja and 6 other Nairobi estates with most dangerous houses identified Read more: Huruma, Umoja and 6 other Nairobi estates with most dangerous houses identified
No such things in KARIAKOO
Yani iki kijengo kifupi walichotudanganya na mnara kipo kama kipapu cha maembe[emoji23][emoji23]NALIAMSHA DUDE:
mwenye macho haambiwi tazama...bila shaka wote mnaona mazingira machafu hatua chache jirani na hayo majengo yao.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]