Mbwa ww ndio uone france tu inatokea but ikitokea TZ ni maajabu!Leo mbwa anafananisha France na Tanzania ππππ
Nairobi yote π€£ π€£ π€£ π€£ ni sawa na sawa na Manzese Darajani
Muziki wa SGR umeushindwa?
Endeleeni hivyohivyoClimate change is a hoax
Kwasaaa train yenu ina connect your two busiest cities na numbers ni sawa na zile za route ya Dar-Moro ππππ moro is just a rondom town, lakini unaona vile watu huenda na kurudi huko kila siku?Siku SGR ya kenya itafika malaba itabeba abiria 2M kwa mwezi.
Waki record numbers za route ya Dar-Dom , hii itawafanya wakunya wajue kua sisi sio level yao kabisa πππ. Kwasababu bila shaka numbers zinaweza kufika hadi 15k pax a day.Hapo haya mahesabu yalijumuishwa bila route ya Dodoma kuanza numbers kamili zitapatikana kuanzia route ya Dom ilipoanza.
Maneno kutoka kinywa cha mtu mpumbavu πππ.Route moja tu ya Nairobi Mombasa inabeba abiria 9k kwa siku. Hao route mbili ya Dar-Moro and Dar-Dom inabeba abiria 7k per dayπππ€£π€£
Muziki wa kulalisha abiria porini sitaki π€£π€£πMuziki wa SGR umeushindwa?
188,000 passengers divide by 44 days ni 4,272 passengers per dayπππ€£Maneno kutoka kinywa cha mtu mpumbavu πππ.
So siku hizi 188,000 divided by 44 days ni 7000? Hizo ndio mathematics za Tanzania?π€£π€£ππWewe mbwa Teargas official statements zimetoka huku ππ Dar-Moro pekee ishapiga 188k pax in a month. ππΎ
View: https://www.instagram.com/p/C-Hy5rtqAy7/?igsh=MTZ4dzVyZHB4MWk4OA==. We are travellers. ππ jua hiv The second busiest city ni Mwanza ππ hii treni ikifika Mwanza basi ujue kwa mwezi kusafirisha watu 800k-1 million litakua jambo la kawaida. πππ sisi ni bora kuliko nyie mbwa tu.
Nurse tangu lini akajua mathematics π€£ π€£ π€£ π€£Kumbe ni 4,000 passengers per day and not 7,000 as they want us to believe π€£π€£π.
188,000/44 days = 4,272π€£π
Why must they lie?π€£ππππ
View: https://x.com/swahilitimes/status/1818938021468684705