Hile yenye watu walipanda bure?π€£π€£ππSasa hiyo ni from DSM to Morogoro πππ safari ya km200 tu.
Northern Corridor iko kwenye CoW wabaki na CoW yao sisi sio ngombe tuko unwilling π€£π€£π€£π€£Serikali ikikubaki tuu hapa tutakuwa tumeingizwa king ππππ
View: https://twitter.com/The_EastAfrican/status/1817152138822246778?t=3sPrsug6ceoHKSfd5_AYDg&s=19
Hata mimi nitashangaa Tanzania kumpa mpinzani wake nafasi ndani ya eneo la kujidai, amwache afe kifyakeSerikali ikikubaki tuu hapa tutakuwa tumeingizwa king ππππ
View: https://twitter.com/The_EastAfrican/status/1817152138822246778?t=3sPrsug6ceoHKSfd5_AYDg&s=19
Kaka Dodoma station ni nzuri mara 100 ya Dar, tofauti ni kwamba Dar station ni nzuri kuliko zote EA except ya Dodoma, tulikuwa tuna share picha za Dodoma station tangu enzi zile za Magufuli, hawa mbwa wa Kenya walifikiri tunatania, leo kitu kimekamilika wamebaki kumtuma teargass awapoze machungu π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Mkuu mpaka nikajiuliza kwa nini hawajajenga kama hii Dar? Dodoma SGR station ni nzuri sana.
Weka picha ukionesha mazingira ya behewa nitajuaje hapo ni kwenye behewa la economy ama dining car or VIP
Hizi huduma zipo kwenye treni zetu za MGR Dar-Moshi-Arusha πππ .. hii hapa diamond anafanya sound check ndani ya treni ya Dar-Kigoma ππΎ
On top of that, hilo ni jiwe linaloakisi mazingira ya Dom, Dar hakuna mawe kama hayo, station za SGR zetu zimejengwa kuakisi mazingira ya eneo husika.Mkuu mpaka nikajiuliza kwa nini hawajajenga kama hii Dar? Dodoma SGR station ni nzuri sana.
state of artHapo mbele ya station ni nini mzee? πππ ngoja nikusogezee karibu ππΎView attachment 3053677View attachment 3053673View attachment 3053675
Hata mimi nitashangaa Tanzania kumpa mpinzani wake nafasi ndani ya eneo la kujidai, amwache afe kifyake
Hiyo route ije kuruhusiwa pale tuu ambapo yakifanyika yafuatayo,Northern Corridor iko kwenye CoW wabaki na CoW yao sisi sio ngombe tuko unwilling π€£π€£π€£π€£
Sasa mkuu ile Tanzanite station kuna tanzanite Dar? Sio mbaya ila ya Dodoma iko vizuri zaidiOn top of that, hilo ni jiwe linaloakisi mazingira ya Dom, Dar hakuna mawe kama hayo, station za SGR zetu zimejengwa kuakisi mazingira ya eneo husika.
Au tuwape ila tuwapige fee kubwa kutumia barabara zetu panya akiingia ndani ya kibuyu huhitaji kuvunja kibuyu bali tikisa na geuza geuza taratibu atatoka mwenyewe tuu πHata mimi nitashangaa Tanzania kumpa mpinzani wake nafasi ndani ya eneo la kujidai, amwache afe kifyake
Huyu huwa naishi naye hivyo hivyo japo najua ni mpumbavu lkn ili niishi naye najiweka kwenye level zake za upumbavu, najua hakuna comparison kati ya SGR Tz vs SGR Kenya lkn naenda naye hivyo hivyo ili kufanya battle iendelee japo ni aibu kuendelea ku debate kuhusu SGR Tz vs SGR Kenya.Nimemtupa ignore list huyo mbuzi. Kwasababu anaandika upuuzi ambao inabidi ufumue fuvu lake umuweke sawa. Sasa kuokoa muda wangu ni heri nisione pumba zake.
Wasenge ninyi sana, Magufuli atazidi kuwatesa akitokea kaburini kwa miaka mingi mno na ndio mjue yule mtu alikua wa kipekee sana sababu ni miaka zaidi ya minne mnapigana nae akiwa kaburini.
Squeezed sardines π€£π€£π€£Show us those specifications. Donβt forget that Kenyan coaches carry more passengers than your coachesππ
π€£ π€£ π€£ π π π
Dining cars ni kwa overnight trains and slow moving trains.Karne hii watu wanatumia haya matakataka πππ
View attachment 3053282View attachment 3053283View attachment 3053284