Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,804
- 41,709
Unmehamia kwenye namba of passengers? πππ Sasa mbona huku Ndio utalia kabisa? A train to morogoro alone has registered a larger number of travelers than than of kunyalanders.We are transporting averagely 8M passengers every year.
Nyinyi hata hamjamaliza one month na tayari train imeanza kuwa na empty seatsπ€£π€£π€£ππππ
View attachment 3050315
Vituo vidogo kama Pugu na Soga vimewekwa kwaajili gani!?Kwani treni yenu ni daladala?π€£π€£π€£.
Anyway enjoy the ride with empty seatsπππππ
View attachment 3050312
Again huna akili. Unajua behewa la nani hilo? Pia hakuna treni duniani inajaa full capacity kila siku. But hey hujawahi kuona maisha nje ya kibera huwezi jua.We are transporting averagely 8M passengers every year.
Nyinyi hata hamjamaliza one month na tayari train imeanza kuwa na empty seatsπ€£π€£π€£ππππ
View attachment 3050315
Sisi mwezi mmoja tushaweka rekodi ya zaidi ya abiria 40k.We are transporting averagely 8M passengers every year.
Nyinyi hata hamjamaliza one month na tayari train imeanza kuwa na empty seatsπ€£π€£π€£ππππ
View attachment 3050315
Ubaguzi pro maxπππ€£π€£πππHuna akili wewe. Hata US or UK au Chinese embassy wanaweza kukodi behewa lao. Hata Wakenya wanaweza kukodi behew zima. Akili yako imejaa ubaguzi ndio maana unafikiri unavyofikiri.
Ndio akili yako ilipoishia.
Yenu ni empty kila sikuπππππAgain huna akili. Unajua behewa la nani hilo? Pia hakuna treni duniani inajaa full capacity kila siku. But hey hujawahi kuona maisha nje ya kibera huwezi jua.
Nishasafiri na treni Ulaya Behrman zima tuko watatu,nishatoka na ndege Amsterdam to London city Airport tuko less than 30 ndege kubwa. Lakini huna exposure unajua kupiga kelele tu nyuma ya keyboard.
Hiyo 8M passengers kwa mwaka mtoe wapi!?We are transporting averagely 8M passengers every year.
Nyinyi hata hamjamaliza one month na tayari train imeanza kuwa na empty seatsπ€£π€£π€£ππππ
View attachment 3050315
Huyo hana akili ni kichaa. Hajawahi kupanda treni ya umeme. Wenzie wanasafiri hadi Tz kupanda treni ya umeme huku wanatengeneza content making money. Yeye ana kazi ya kupaka rangi upepo.Unmehamia kwenye namba of passengers? πππ Sasa mbona huku Ndio utalia kabisa? A train to morogoro alone has registered a larger number of travelers than than of kunyalanders.
Mimi usinikasirikieπππ€£π€£ππNdio akili yako ilipoishia.
Hana akili huyu mkuu.Ndio akili yako ilipoishia.
Jichekeshe tu. Ila unaumia. Mbaya zaidi you are stuck in kibera.
Nimkasirilie loser? Hao wana hela wanaweza kukodi treni yote. It's business.
Ushapewa maelezo yanayohitajika hivyo ukitaka kubaki na ufala wako baki nao.
4000 passengers wanasafiri na hii treni kila siku mzee πππ. How many passengers wanasafiri na hiyo nginja nginja every day?We are transporting averagely 8M passengers every year.
Nyinyi hata hamjamaliza one month na tayari train imeanza kuwa na empty seatsπ€£π€£π€£ππππ
View attachment 3050315
Hao 40k walipanda train bure. Usidhani hatujui HiloππSisi mwezi mmoja tushaweka rekodi ya zaidi ya abiria 40k.
Tena hiyo ni wiki mbili ndani ya mwezi.
Na hiyo ni Dar to Moro.
Subiri ianze ya mpaka Dodoma.
Bado utaumia sana huku wakenya wenzio wanakuja ku experience electric train Tanzania. Jitahidi hata upande gari moshi lenu.
Wapandisheni na nyinyi bure kama rahisi.Hao 40k walipanda train bure. Usidhani hatujui Hiloππ