Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,268
- 107,908
KQ Business class! hakuna privacy!Thanks for accepting that indeed itβs only your planes ndio zinaezalinganishwa na Kenyan SGR though bado hazijafika level za Kenyan SGRπππππ
Guys hii kitu gani? Imekaa kama kanisa π π π πLetβs Compare boarding platforms.
Za Kenya zinatoshana na urefu wa reli and passenger canβt be rained on during onboarding or off boarding.
View attachment 3049773
Za wachawi sasa ni Mwendo wa kunyeshewa from start to finishππ
Huyu nyang'au ameumizwa sana na Tz sgrππOnesha hivyo vitu acha ngonjera
Bado Tuko SGR mzee. Remember KQ carries 5M passengers in a year while Any Time Cancellation Limited (ATCL) only carries 800,000 passengers in a yearπππ.KQ Business class! hakuna privacy!
Nenda kaandamane π€£ π€£ π€£ π€£ π€£π€£Bado Tuko SGR mzee. Remember KQ carries 5M passengers in a year while Any Time Cancellation Limited (ATCL) only carries 800,000 passengers in a yearπππ.
Nashangaa huyu Teargas bado anarandaranda humu wakati nyang'au wenzake wako kwenye maandamano ya kumng'oa Ruto, ha ha haππNenda kaandamane π€£ π€£ π€£ π€£ π€£π€£
#RutomustgoSatan! What kind of embarkment is this?πππ€£π€£
View attachment 3049787
Vs Kenyan embarkment.
View attachment 3049790
#RutomustgoHile ajali naona hapa itakuwa hatari sanaππππ
View attachment 3049797
Sasa ngoja siku ya kusafiri muangaliane kama mbuziππ
Kitu hakina ghorofa ila lipaa la namna hiyo nadhani design ya bichwa la Kipchoge!
Mkuu utakuepo kwenye treni tarehe 25?
Ndio mkuu nitakuwepo.Mkuu utakuepo kwenye treni tarehe 25?
Ndio ujue ujenzi bado haujaisha na kuna underpass zinamalizika vile vile π πHamna fenceππ€£π€£π€£