Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hujapost kilichopostiwa wewe unapost eneo nje ya jengo
umeona jamaa alivyo mjanja katika kuchagua engo za kutuonyesha.they are very selective....zile zinazoonyesha uchafu nje ya jengo hawaziweki hapa.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Tunapiga mpaka kuua kabisa



 
mwenye macho haambiwi tazama...bila shaka wote mnaona mazingira machafu hatua chache jirani na hayo majengo yao.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]







 
baada ya kariakoo kunyorosha nairobi,sasa hivi hauwezi ukasikia wakenya wakileta "nyenyenye" kuhusu kariakoo.... wapo kimya.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
napendekeza sasa twende nairobi vs upanga,a suburb located few kilometers from kariakoo.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
mwenye macho haambiwi tazama...bila shaka wote mnaona mazingira machafu hatua chache jirani na hayo majengo yao.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]







siku hizi huleti picha za kibera kuliendaje....tumezimiss sana
 
siku hizi huleti picha za kibera kuliendaje....tumezimiss sana
zile zinaletwa kwa sababu maalum ya "kuliamsha dude" pale hali ya hewa inapochafuka.

zinasaidia sana kuamsha hasira ya wakenya...besically huwa na-enjoy ninapoona mnahasira.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kweli picha zinazopigwa juu zinaficha mengi
Cc brietzcrieg
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…