mombasa254
JF-Expert Member
- Dec 2, 2017
- 1,026
- 215
Mombasa Haina flag yake bro ni Mali yah kenyahaya msikieni mkenya leo kaamua kufungua, sasa nakuuliza swali dogo unajua kwanini kenya inaitwa "republic government of kenya", jibu lake ni kua mombasa ni nchi na imejiunga na nchi ya kenya, kama vile tanganyika kujiunga na zanzibae ikapatikana tanzania , history ilikua mwiba kwakoππππππ
Hata raisi wake yupo.ila sio nchiZanzibar ina flag yake
kasome history vzr nduguππππ siku nyingine usije kibwegebwegeMombasa Haina flag yake bro ni Mali yah kenya
Sooo.....muache Kupost Mali ya m2Hata raisi wake yupo.ila sio nchi
tanganyika + zanzibar = tanzaniaπππππ pole kwa hasiraSooo.....muache Kupost Mali ya m2
Muache..raia wa kizanzibar a postkasome history vzr nduguππππ siku nyingine usije kibwegebwege
tanganyika + zanzibar = tanzaniaπππππ pole kwa hasira
unatia mpaka hurumaππππππ basi ok zaznibar iko kenya umefurahiπππMuache..raia wa kizanzibar a post
Safi sana sio wa Kenya wanaleta picha za 2017 lakini magari wanatumia bado ya 1980'sFurahia kidogo Dar
Saizi kuna Zanzibar.. Mji.wake stone town na tz n dar soo muache ku2zungshatanganyika + zanzibar = tanzaniaπππππ pole kwa hasira
sasa umehamia kwenye magari πππππ polepole munalainikaSafi sana sio wa Kenya wanaleta picha za 2017 lakini magari wanatumia bado ya 1980's
Pwani si Kenya/ Peoples Republic vs Central RepublicZanzibar is another country
haya msikieni mkenya leo kaamua kufungua, sasa nakuuliza swali dogo unajua kwanini kenya inaitwa "republic government of kenya", jibu lake ni kua mombasa ni nchi na imejiunga na nchi ya kenya, kama vile tanganyika kujiunga na zanzibae ikapatikana tanzania , history ilikua mwiba kwakoππππππ
leo mkenya kachanganya madesa kumbe siku zote tunabishana hata history huijui yani hujui hata mombasa ni nchiSaizi kuna Zanzibar.. Mji.wake stone town na tz n dar soo muache ku2zungsha
Hapana Zanzibar niinchi....bro.kunakiongozi wao c kapombe..unatia mpaka hurumaππππππ basi ok zaznibar iko kenya umefurahiπππ
Unajidii humu jf na Zanzibar ukisafiri Zanzibar una beba passportunatia mpaka hurumaππππππ basi ok zaznibar iko kenya umefurahiπππ
Huyu daftari lake la history atakua alipoteza siku ya kwenza tu kuingia darasani πHapana Zanzibar niinchi....bro.kunakiongozi wao c kapombe..
Zanzibar is a semi-autonomous region of Tanzania in East Africa.
Iyo ni siasa kama ..migori c Kenya.....Alafu kwa cecafa tz INA team na Zanzibar yao sooo muachane na Mali ambayo c yenuPwani si Kenya/ Peoples Republic vs Central Republic
Jamaaa unaota..... Kitambo was Kenya capital sooo kueni na adabu Zanzibar c tz. Na c ya kapombe ...nikuiba mnaibaleo mkenya kachanganya madesa kumbe siku zote tunabishana hata history huijui yani hujui hata mombasa ni nchi
Tuna akili nyingi ya kuweza kuungana bila kudhulumiana, Kenya mumewadhulumu watu wa Pwani kwa kuwameza bila kuwapa mamlaka ya ndani, hamtobaki salama, mtaendelea kupigana risasi kama wanyama poriniIyo ni siasa kama ..migori c Kenya.....Alafu kwa cecafa tz INA team na Zanzibar yao sooo muachane na Mali ambayo c yenu