Baada ya kula ban hapa JF namuona Teargas kaungana na waandamanaji kwa hasiraππππππππππ
View: https://x.com/C_NyaKundiH/status/1806330765522641223?t=6NDwPXaRoyIUbFVCqIER9g&s=19
Hawa Americans wameidharau sana Kenyan Police Forceππππππ
View: https://x.com/Kenyans/status/1806199154965713055?t=SL8TmJKaAgvgzhTzJTOk2A&s=19
Hii nchi iko under martial law sasa π
Hakuna majengo wala chochote zaidi ya barabara za mikokoteni π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Hii ndo wanafananisha na Dodoma??π€£ Kweli vichwa maji hawa
Mauaji ya halaiki yanaenda kutokea Kenya.
Duh the region most modern police force is equipped with ze gongo π€£π€£π€£π€£
Sisi wenyewe wadada wakazi tunafuata Kenya, malawi na Zambia hata vijijini kupata dada wa kazi ni nadra sana huko Kenya sababu kubwa ni Binti zenu wanakimbia njaaNimeskia kuna agencies dar slum zinaleta wadada wakibongo Mombasa Kama housemaids, niunganishe na moja nataka mfanyikazi. Niko serious...