muhogo_kiks
JF-Expert Member
- Dec 4, 2018
- 1,759
- 4,855
Hii ndo wanafananisha na Dodoma??π€£ Kweli vichwa maji hawaTutolee ungese hapa
View attachment 3027452
Huyu ndio mwijaku wa kunyaland,jamaa content zake uwa kuiponda TZ na wanamuziki wa TZ,juzi kati alikua TZ naona kayakana maneno yake na kuwageuka kunyanGeneration Z kule Ukunyani waone hii ili hasira zizidi!
View: https://x.com/zunabakari/status/1805248461543018703
View: https://x.com/ChenMingjian_CN/status/1805246104209867009
#SGR Tanzania effect#
π¨π¨ Kasema ukweli hata kama huupendiHuyu ndio mwijaku wa kunyaland,jamaa content zake uwa kuiponda TZ na wanamuziki wa TZ,juzi kati alikua TZ naona kayakana maneno yake na kuwageuka kunyan
Uniforms kwa hisani ya watu wa America. Ni mojawapo ya deals Zakayo alienda kusinyee USA