Hapa ni sehemu ipi Mombasa?.., yaani sio CBD, usipotee njia mjukuu🤣🤣🤣🤣.,nakuambia Mombasa sio Dar, what u see ni residential mostly, from Buxton mbele kuelekea kutoka Mombasa kulee nje ukielekea mikindani, CBD iko kushoto mwa picha, haionekani, ndio ujue Mombasa sio mwenzenu, yaani unafananisha mitaa za Mombasa na Arusha town🤣🤣🤣💯💯😂😂😂😂😂😂😂😂umepost picha nyingi halafu ukafanya summary kwa picha hii moja. 👇View attachment 3025772..Arusha is far better than this, hilo linaaonekana wazi tu.
Au jamani, namuonea huyu .? 🤣🤣
Unaniuliza mimi.? 😂😂😂Hapa ni sehemu ipi Mombasa?.., yaani sio CBD, usipotee njia mjukuu🤣🤣🤣🤣.,nakuambia Mombasa sio Dar, what u see ni residential mostly, from Buxton mbele kuelekea kutoka Mombasa kulee nje ukielekea mikindani, CBD iko kushoto mwa picha, haionekani, ndio ujue Mombasa sio mwenzenu, yaani unafananisha mitaa za Mombasa na Arusha town🤣🤣🤣💯💯😂😂😂😂
Kweli Mombasa ni kubwa mno., unajaribu kulazimisha tufanane eti🤣🤣🤣🤣sio Dar.., kila sehemu nzuri ndani, summary., hatuwezi fanana, bana.., Mombasa ni wide!!!.,.🤣🤣🤣 huu ni upumbavu gani.? Unajua kitu kinaitwa shaghala baghala.? The summary of what you have posted ni hii 👇View attachment 3025780mjiji yetu haiwezi kuwa ya kipumbavu kama hivyo..😂😂😂 kubali yaishe.
Nyumba za tope zote hzo yani hapa ikipita earthquake kidogo Tu shughuli imeisha😂😂Babadogo ni slum kubwa kuliko kibera View attachment 3025781View attachment 3025782View attachment 3025783View attachment 3025784
Sio nafananisha, Arusha is better than Mombasa. Ngoja nikusogezee karibu ujionee 👇Hapa ni sehemu ipi Mombasa?.., yaani sio CBD, usipotee njia mjukuu🤣🤣🤣🤣.,nakuambia Mombasa sio Dar, what u see ni residential mostly, from Buxton mbele kuelekea kutoka Mombasa kulee nje ukielekea mikindani, CBD iko kushoto mwa picha, haionekani, ndio ujue Mombasa sio mwenzenu, yaani unafananisha mitaa za Mombasa na Arusha town🤣🤣🤣💯💯😂😂😂😂
Mbona kama umeanza kulia.? 🤣🤣🤣 unajua kama hii ni nusu posta tu.?Kweli Mombasa ni kubwa mno., unajaribu kulazimisha tufanane eti🤣🤣🤣🤣sio Dar.., kila sehemu nzuri ndani, summary., hatuwezi fanana, bana.., Mombasa ni wide!!!.,.
View attachment 3025785
Kama baba dogo tunaitaja miongoni mwa slums ni hii yenye Tanzania inabisha sio slums tutaziita nini?Babadogo ni slum kubwa kuliko kibera View attachment 3025781View attachment 3025782View attachment 3025783View attachment 3025784
Mombasa hata Ile foundation makeup haiwezi kubali 😂😂😂😂😂😂Mbona kama umeanza kulia.? 🤣🤣🤣 unajua kama hii ni nusu posta tu.?
Usipotee njia mjukuu, ni pale pale., hehehehehee.Mbona kama umeanza kulia.? 🤣🤣🤣 unajua kama hii ni nusu posta tu.?
Na maandamano yote hayo 🤣 🤣 🤣 🤣Na ww ulishangilia ruto alipokalia kiti cha biden USA??😂😂😂😂😂😂
View: https://x.com/TheStarKenya/status/1805564672185115037?t=6nCwwjqqkgJuE5gMhOEsKg&s=19
Mbona unaogopa kutumia camera yako una google tu historia?.., umeoan Mombasa ya 2024 kiukweli inatesa Dar.., heheheMombasa hata Ile foundation makeup haiwezi kubali 😂😂😂😂😂😂
View attachment 3025793View attachment 3025794View attachment 3025795View attachment 3025796View attachment 3025797View attachment 3025798
Unatupotezea muda 🤣🤣🤣Unadhani ukipost picha za uchafu huu itaondoa ukweli?Usipotee njia mjukuu, ni pale pale., hehehehehee.
View attachment 3025791
Mombasa ni pana sana., ata kama ni jiji la kwanza EAC.., Dar ni mtoto mdogo kwa Mombasa kilaza..,
View attachment 3025799
😂😂😂 sasa hili eneo unalopost let's assume lina quality sawa na Posta, hiyo picha si ni nusu posta au.?Usipotee njia mjukuu, ni pale pale., hehehehehee.
View attachment 3025791
Mombasa ni pana sana., ata kama ni jiji la kwanza EAC.., Dar ni mtoto mdogo kwa Mombasa kilaza..,
View attachment 3025799
naona mud houses CBD!Nionyeshe hapa from hapo juu., hii sio Dar CBD Moja kwisha.
View attachment 3025750
View attachment 3025752
View attachment 3025753
View attachment 3025754
View attachment 3025756
View attachment 3025757
Jiji kuu eti hehehehe
Umejiandaa kupambana na mimi au una beep? Unaweka Takataka humu kwa kujifariji. Education yenu is hopelessJiji kuu eti hehehehe
View attachment 3025816
Mzee just highlight and point one tafadhali., mtanyooka watu wa jiji moja hehehehe.,naona mud houses CBD!
Endelea kuweka uchafu wako wa Mombasa wengine hatujawahi kufika Mombasa tuione kupitia picha 🤣 🤣 🤣Mzee just highlight and point one tafadhali., mtanyooka watu wa jiji moja hehehehe.,