Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

food security in tanzania....photos below are worth ten thousand words.
 
hapo kuna picha za Mbeya na bukoba kaka.
Yaani unanifanya machozi yananitoka, nikikumbuka nyumbani chakula tunachezea, huku mjini tunauziwa ndizi moja 200, safari hii nikienda Xmass ninaenda kumalizia nyumba yangu, 2020 nitarudi rasmi kijijini kwangu Mwakaleli.
 
Yaani unanifanya machozi yananitoka, nikikumbuka nyumbani chakula tunachezea, huku mjini tunauziwa ndizi moja 200, safari hii nikienda Xmass ninaenda kumalizia nyumba yangu, 2020 nitarudi rasmi kijijini kwangu Mwakaleli.
pole sana kaka.
 
hahahahaha...wakenya hawana hamu na tz hii ya sasa....wamebaki kurusha ngumi za mapovu hewani ilhali wapo "dhoofu lihali".[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
“Mambo Kenya..Nawapenda Sana” Jamaica’s ‘Bad Gyal’ Ce’cile Says As She Jets in For Nairobi Show.

Taking to social media to reciprocate the love from Kenyans, Cecile showcased her Swahili, writing: “Kenya, my home away from home… nawapenda sana!
#cecileinkenya”
 
So in a period of 3 days, we've seen 5 international stars.
Nasty C - SA
Ty Dollar $ign- USA
Rita Ora- UK
Ellie Goulding - UK
Cecile- JM
 
78% njaa..ata wewe haujakula
Siku napiga hii picha ya gari la Kenya likitokea mangola, Arusha kuchukua vitunguu nilijiuliza sana , ivi wa kenya ata kitunguu mmeshindwa kulima ni uvivu wa namna gani mko nao , Tanzania tutaendele kuwa spoon feed kenyans mpaka mpate akili ya kufanya kazi
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…