Inaniuma kivipi wakat madeni mumeyabeba kichwani πππππ na bado dunia mumeibeba pia inawapeleka mbioRoho inakuuma kisawaswa πππ
Linganisha na AzamAlaf mukinyinwa CAF standards munasema Tanzania tunatoa rushwa ππππ
Na Stadium gani!?Ndiyo mnapata leo? Sisi tumetoka huko kitambo.
Baada ya wewe kuongea hili ilibidi nirudi darasani nikapitie madesa yangu. Mzee nimekutana na taarifa hii hapa ya 2022 kutoka IMFWewe ndio utakuja kupiga nduru muda sio mrefu. As for us we have a free floating currency
Je unajua vumbistan inadaiwa 37bn USD amabayo ni almost nusu ya GDP yenu. Je unajua kwamba Kenya hatujawai samehewa deni wala kuuza mali za nchi. Je Una habari mmeuza bandari kwa DP world na mko mbioni kuuza migodi kwa South Korea. Ulitaka tusilipe deni ilitufanane ππΉπΏππInaniuma kivipi wakat madeni mumeyabeba kichwani πππππ na bado dunia mumeibeba pia inawapeleka mbio
Uchumia ambayo kwenye kila ksh 10 basi ksh 6 inaenda kulipa madeni na hio 4 iliobakia ndio mishahara, maendeleo, bado mafisadi hawajaiba humohumo etc
Public and publicly guaranteed debt in nominal terms as at end June 2023 was Ksh. 10,278.7 billion (70.8 percent of GDP).Je unajua vumbistan inadaiwa 37bn USD amabayo ni almost nusu ya GDP yenu. Je unajua kwamba Kenya hatujawai samehewa deni wala kuuza mali za nchi. Je Una habari mmeuza bandari kwa DP world na mko mbioni kuuza migodi kwa South Korea. Ulitaka tusilipe deni ilitufanane ππΉπΏππ
This is what non-Tanzanians are saying..................π¨π¨π¨π€£π€£π€£ππ
View: https://twitter.com/KevinSa4080959/status/1802816715610542398?t=28tNy30gm2Gba6RdLwWPYg&s=19
Kama mlivyoziba huu wenu sivyo? π€£ π€£Mauwanja ya design hii mnayapendea nn? Uwanja upo wazi, kwann msizibe kote kote? Afrika bhn daahhh
Debt to GDP ratio kwa Tanzania iko 40%Je unajua vumbistan inadaiwa 37bn USD amabayo ni almost nusu ya GDP yenu. Je unajua kwamba Kenya hatujawai samehewa deni wala kuuza mali za nchi. Je Una habari mmeuza bandari kwa DP world na mko mbioni kuuza migodi kwa South Korea. Ulitaka tusilipe deni ilitufanane ππΉπΏππ
Standard hua wanaanza kuangalia ubora WA pitch na hii ndio kitu muhimu kuliko chochote kondoo wewe πππLinganisha na Azam
Huo upo under huge renovation, unafunikwa wote huo.Kama mlivyoziba huu wenu sivyo? π€£ π€£
Kilichoahidiwa ndio kimeletwa.
Mende!This is what non-Tanzanians are saying..................
View: https://twitter.com/groove5156/status/1802796886908137588
View: https://twitter.com/LeoNyarumwe/status/1802793636100251968
View: https://twitter.com/edo11663367/status/1802909211291963445
Mnatamani dunia ituchukie kama mnavyotuchukia ndio maana mnabaki mkilialia kila siku. π€£ π€£
Jidunge unuse.Mende!
Vipi zile accounts zako ulipokuwa unatoa machozi zikapigwa ban., umejisikiaje sasa?Jidunge unuse.
Una- π€£ π€£ π€£Huo upo under huge renovation, unafunikwa wote huo.
Prove kwamba ratio yetu imefika 90% niondoke Jf. Meanwhile vumbi nation pamoja na debt forgiveness mmefika 49% na inapanda kwa speed ya 5GDebt to GDP ratio kwa Tanzania iko 40%
So what about debt to GDP ratio ya Kenya iko 90% ndio maana mumefkia hatua ya kukopa halima kulipa Peter πππππ
Yani KAZI yenu ni Ku double interests kwenye nchi inanuka madeni kila Kona, nchi iliofikia kukopa 250b kshs ili Ku stablize shilling against dollar mulivo na akili za kihayawani