Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

This is what we call "Foreign Direct Investment"
Thank you Tanzania
 
With this 330kV transmission line Zesco Limited is installing, will enable us to import power from Tanzania, which has excess power. #HH
Kutoka Zambia, acha tu wafanye hivi maana mgao wa umeme wanaopitia ni balaa.
 
We mbwa mnuka mavu, umekula kuchapo ground mpaka umeamua kukomaa na list. 🀣🀣🀣
 
Umekua Mtoa ushauri SASA πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Ni Tanzania pekee ndio walau tunafinance Bajeti yetu Kwa 70% Mapato ya ndani, wengine wote kina Kundustan wanategemea 60% ya Bajeti Yao kupata Kwa Madeni na wakati huo huo 30-40% wanalipa Madeni πŸ˜‚πŸ˜‚.

By the way natoaga ushauri kwenye ishu nyingi sana.
 
What are you saying? 🀣 🀣 🀣
Ungesema ni Tanzania pekee iliyo na wananchi waoga na wajinga wasioweza kuquestion budget yao na maamuzi ya serikali yao. Tanzania relies on grants and loans more than Kenya and Uganda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…