Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa wewe ****** kunuka ni wapi kwenye hiyo jedwali ya TPA pameandikwa kwamba Tz ili handed 17 tonnes kwa bandari zote kwa mwaka wa 2023.? 🤣🤣🤣
Mimi usiniletee hasira zako za kulala kwa floor. Who doesn’t know that Mombasa port handles twice the total number of cargo being handled by all Tanzanian ports?
 
Kuna mwengine alikuja hivo hivo nikamrushia per capita ya Zimbabwe hakunijibu tena.
Hao hufikiria ati since Zimbabwe has high inflation rate with weak currency then Zimbabwe is poor. Actually Tanzania is twice as poor as Zimbabwe.
 
Mimi usiniletee hasira zako za kulala kwa floor. Who doesn’t know that Mombasa port handles twice the total number of cargo being handled by all Tanzanian ports?
Ni wapi kwenye hiyo jedwali umepost TPA wameandika kwamba Bandari zote za Tz zili handle 17 million tonnes in 2023.? Nasubiri majibu 🤣🤣🤣
 
Hao hufikiria ati since Zimbabwe has high inflation rate with weak currency then Zimbabwe is poor. Actually Tanzania is twice as poor as Zimbabwe.
THE umbea jealous neighbours have never accepted the fact that we are just better than them.We live in their heads rent free,,,,,,,good thing is that we dont give a damn f*
 
Vumbi nation has been overtaken by Uganda.
Ground inasema otherwise. Sisi sio taifa la walevi kukisia bajeti kubwa then hizo pesa hakuna. Chukua Uganda+kenya na hizo takataka zingine bado hamuwezi fikia hata nusu ya miradi tunayojenga currently.. hiyo bajeti yenu ni hewa tu.. the current biggest project u/c in Kenya ni talanta stadia 🤣🤣🤣 ulizia bongo sasa kama hautakimbia humu.
 
Nionyeshe Mradi mkubwa mpya katika budget yenu ya 2024, keyword ni mpya usinitajie miradi ya Magufuli ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…