The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,434
- 10,970
ππππ¨π¨π¨ππYour EMU has maximum speed lower than Kenyan trainsππ
Wenzetu wanahangaika na render ya Railway city π€£π€£π€£π€£Ujenzi kongani ya viwanda vya Korosho mtwara Waanza ππ
View: https://www.instagram.com/p/C8MjVnjIvYn/?igsh=MXZvemdnNGlsbG41dA==
Tax shortfall was USD 10bn last year. Unrealistic projections π€£π€£π€£
Yani kwa MTU mwenye kuona mbali hata budget Yao ni ya uongo π π π π πTax shortfall was USD 10bn last year. Unrealistic projections π€£π€£π€£
Mama Ngina alikudanganya hvo au sioπ€£π€£Your EMU has maximum speed lower than Kenyan trainsππ
Onesha treni yenu ikifika 160 kwenye dash board ya train π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Nimepost hizo picha hapa mara mingi and from the dashboard of both trains Kenyan ends at 200km/h while za Tanzania ends at 180km/hππ
Huyo mlemavu mafanikio ya Tanzania huwa yanamuuma kuliko kawaida, huwa anaona kama anaumia kuliko wakenya wotee, hivi mtu mwenye akili timamu unaweza kujitaabisha kushindanisha treni za Kenya na Tanzania? Wenzake wote wanashindwa hata kumpa like π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ π€£Acha kujitaabisha kutafuta solace kubali yaishe tuu mbona rahisi sana kijana wenzako washakubali mziki ila wewe unaumia sana peke yako.
Acheni upuuzi nyie Wakenya na Watanzania wa humu kwanini mnawadhalilisha viongozi wetu, jifunzeni kubishana kwa hoja, please please.......
Acheni upuuzi nyie Wakenya na Watanzania wa humu kwanini mnawadhalilisha viongozi wetu, jifunzeni kubishana kwa hoja, please please.......Ruto and Kenyans
View attachment 3017356
Kenya wana base kubwa ya walipa kodi. Sisi walipa kodi ni wachache sana, tena hao wachache hawalipi kiwango stahiki. Tz kodi ni adui hatupendi kulipa. Biashara kibao mitaani hazina TRA connection na maofisa wa TRA wamekaa tu ofisini kazi kubwa ni kusumbua walipa kodi wale wale kila mwaka kuwaongezea kodi badala ya kutafuta walipa kodi wapya.
Utafikiri katoa hela zake mfukoni kumbe anatoa amri tu. Hata akitoa hela za hazina zitaenda TRc halafu TRC wanapeleka hazina. Unatoa hela mfuko wa kushoto wa suruali unaweka wa kulia.Nimecheka Sana ππ€£π€£π€£
View attachment 3017767
Kilichokuchekesha ni nini?Nimecheka Sana ππ€£π€£π€£
View attachment 3017767
Wakati Mwendazake anagawa mabulingutu Mitaani mbona mlikuwa hamsemi?Utafikiri katoa hela zake mfukoni kumbe anatoa amri tu. Hata akitoa hela za hazina zitaenda TRc halafu TRC wanapeleka hazina. Unatoa hela mfuko wa kushoto wa suruali unaweka wa kulia.
Ushakunywa chai?? Au unapoteza nguvi zako bure tu!! Unafikiri Ruto huyo??? Raisi hana mbele wala nyuma. Sisi huku keki ya taifa kunakula wote.......Nimecheka Sana ππ€£π€£π€£
View attachment 3017767