Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Imefikaje 2023 na sio tena 2016 Yani jux anunue gari over 500m alaf iwe 2016🀣🀣🀣
Hivi unajua maana ya model year? Alafu si nyinyi wabongo mnanunua magari hata ya miaka 20? 🀣🀣
 
Hivi unajua maana ya model year? Alafu si nyinyi wabongo mnanunua magari hata ya mika 20? 🀣🀣
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣 SASA sio tena 2016 imehama 2023, ww unawivu Sana na ungekua demu ww wanegekufumua mpaka sikioni
 
Kwani gari za 2016 zilikufa? 🀣 🀣 🀣
 
Haya nishakusaidia kwa jux kaniambia atakupa gari moja πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

View attachment 3013004
Wewe mwenyewe Jux hakujui, utamuongeleshaaje mtu hakujui. Usijifanye kuwa na umaarufu ambao huna. Huu upuzi wenu wa kuabudu celebrities sisi huwa hatuna. Turudi kwa mjadala. Hivi unajua E-Class ya 2023 inavyokaa? 🀣 🀣 🀣
 
Rudisha ile ya kwanza. Hiyo ndio tulikuwa tunajadili. 🀣 🀣
Haya nishakusaidia kwa jux kaniambia atakupa gari moja πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

View attachment 3013004

View: https://www.instagram.com/reel/C7MkJp0Nqbp/?igsh=b3JsdnBrM3RtNWsz
Jux kanijibu kasema uchague gari unayoitaka wewe hapo πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/reel/C7MkJp0Nqbp/?igsh=b3JsdnBrM3RtNWsz
 
Wewe mwenyewe Jux hakujui, utamuongeleshaaje mtu hakujui. Usijifanye kuwa na umaarufu ambao huna. Huu upuzi wenu wa kuabudu celebrities sisi huwa hatuna. Turudi kwa mjadala. Hivi unajua E-Class ya 2023 inavyokaa? 🀣 🀣 🀣
Kasema chagua gari atakupa kashanijibu inbox πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

Chagua usione aibu SASA

View: https://www.instagram.com/reel/C7MkJp0Nqbp/?igsh=b3JsdnBrM3RtNWsz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…