Mkwanzania
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,352
- 5,414
Baaaasi tumemaliza, phase 6 itakuwa mtelemko tu. Tutumie AFCON 2027 kuitangazia dunia Tanzania ni nani hapa Afrika Mashariki na kati, watu waje kushangaa vitu vingi sio mpira tu.TANZANIA NATIONAL ROADS AGENCY
GENERAL PROCUREMENT NOTICE
DAR ES SALAAM BRT PHASE 5 PROJECT – CTZ 1075
The Government of the United Republic of Tanzania has received financing from Agence Françaisede Développement ("AFD"), towards the implementation cost of Dar es Salaam BRT Phase 5 Project.The project comprises two trunk corridors for a total length of 25.6 km, and 36 stations includingconstruction of Mandela and Mabagala roads (16.5 km) and 23 stations and construction of Tabata –Kigogo road (9.9 km) and 13 stations.
Ili per capita ionekane ipo juu, haya ******* yanapenda sn sifa, now yanaumbuka kila yanapogusa. Unajiuliza per capita kama ni kubwa kwann yanaomba misaada ya chakula kila siku?Walianza kushusha population yao, wakundustan wapo wengi kama kumbi kumbi ukiangalia consumption yao ya sukari na cha vyakula vingine ndio utajua wapo wengi mno, walifake population ili GDP ije kubwa.
Patawaka hapo……balaa lake litakuwa si dogo!!
Hakuna mtanzania ana wish kuwa mkenya, sijawahi ona, ila wakenya wote wangependa siku moja wamiliki passport ya Tanzania.Kundustan hadi pasi za TZ uwa wanataka wawe nazo
Most of kunyan wana ndoto ya kuwa watanzaniaHakuna mtanzania ana wish kuwa mkenya, sijawahi ona, ila wakenya wote wangependa siku moja wamiliki passport ya Tanzania.
Huna akili wewe akuoneshe wewe Nani?? 😂😂Who told you traffic ndio huwa wanaonyeshwa Logbook? Ni nini unajua kuhusu magari wewe?
Bora lakini isiwe ya watu 3000 hapana hatutaki hio 😂😂😂😂Kama kawaida washabiki wanakalia mbao.
Hata hawa wanuka mavi wa humu ni hivyo hivyo mkuu.Most of kunyan wana ndoto ya kuwa watanzania
Watanzania uwa tunakuja na habari za na hata data za uhakika ngoja waje kunyan na habari zao😂😂😂😂😂😂 ila Inauma Sana
View attachment 3011172
Oh pleaseeeeee we dont have these kind of buses in Tanzania no one will ride on them their standard is way below ordinary coaches plying the Tanzanian roads.Kenya is now exporting buses all the way to Mozambique. The bus to grace Tanzanian and Mozambican roads.
View attachment 3011238
View attachment 3011239