Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Shida elimu yao mkuu na mazoea ya huko kwao kila mradi mkopo au msaada hakuna kitu serikali inaweza fanya kwasababu iko broke. Wasitake tufanane.
 
"Is civil engineering build" hii Kiingereza ya ugoko ndio unatusumbua nayo hapa! If you can't even use the right keywords in the search bar, sasa mbona unatuwek na story mingi hapa? Says a lot about you as a person.

Hata kwenye hiyo screenshot yako, it's clearly written they might not handle the simplest construction projects alafu ubishi umeweka mbele. Midanganyika ni midanganyika tu!
 
Mnatabia ya kujitoa ufahamu kupotezea mada kwa kujifanya mna ujuzi wa lugha badala ya kukaa katika mada tajwa mnahamia kwenye kusahihisha spellings. Hii ni ishara ya kushindwa🤣🤣🤣 haya fine hapo kwenye hilo swali ongeza ing na question mark, then nataraji umeelewa, here waiting for your answers. 😎
 
Nimewauliza tangu asubuhi. Constructors wa kenya wanasoma masomo gani? Mnaruka ruka tu na kutuletea tamathali za semi.
 
Kwanini unaleta Habari mseto? Kuna viwanja viwili tofauti vinaongelewa hapo na publisher wa hilo gazeti sio official kutoka Tanzania na hana facts
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…