Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Usinililie mm tafadhali kawalilie wakenya wenzako, mm sio ndugu yako, mm mtoto wa Nyerere sina undugu na wewe 👇👇
 
Umeamua kutumia ile methali yao ya kumpa mjinga cheo. 🤣 🤣
Hawa majamaa bana, yani mtu unaweza ukampa maji kwa kikombe ukamwambia ni maji, yeye anabisha ni petroli kisa amegoogle akaona picha ya hicho kikombe na neno petroli hapo kando. Yani mtu anaamini kile anachotaka kuamini ila hana haja na ukweli. 🤣
 
Ndivyo walivyo, ndio maana mimi wengi wao huwa sijishughulishi kuwajibu. Yani kujadili na mjinga ni kazi nakwambia. 🤣 🤣
 
Ndivyo walivyo, ndio maana mimi wengi wao huwa sijishughulishi kuwajibu. Yani kujadili na mjinga ni kazi nakwambia. 🤣 🤣
Kuna saa zingine mimi hutaka kuwapiga vya ukweli niwaache wakijua ukweli hata kama humu watapinga kwa kiburi ila najua walipo washaujua ukweli. Kama hili jambo la render wamekuwa wakilirudia humu hadi wakaliamini wenyewe. Wengine wamejiunga na jukwaa wakapata wenzao wakisema eti Kenya render zetu hazifanani na final product na wakaaminishwa hivo. Leo wameshtukia hawana hata project moja ya Kenya wanayoweza kusema hii render yake haifanani na final product. 🤣 🤣
 
Yani jamaa ni mpigaji tu.....mambo yake ni ya ujanja ujanja tu, I don't like this guy!!
 
Itawachukua wakenya miaka mingi sana kufikia usafi wa jiji kama Dar, inahitaji raia wawe civilised enough kuwa na clean city sio raia wanuka mavi kama wakenya.
Mnapiga picha za highways na main artery roads mnasema usafi. Nenda vichochoroni tuone huo usafi. Kuficha uchi kumewaaminisha vitu vingi hadi hamjielewi.
 
Mnapiga picha za highways na main artery roads mnasema usafi. Nenda vichochoroni tuone huo usafi. Kuficha uchi kumewaaminisha vitu vingi hadi hamjielewi.
Dada labda huijui Tanzania, haiwezi kuwa chafu kama kenya au nchi nyingine nyingi tu za kiafrika, ni kwasababu watanzania ni wastaarabu, tunaanzia kujifunza shuleni ustaarabu na ndiyo maana hata ukisafiri umbali mrefu huku Tanzania lazima kuwe na vyoo njiani kwa ajili ya abiria kujisaidia, hakuna mambo ya flying toilets huku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…