Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hivi unaelewa maneno unayotumia ama unayatumia tu uonekane unakijua Kiingereza?
Nenda kawaambie kibera mzee mambo ya kizungu. Tanzania is a free nation. Tunatumia maneno tunayotaka sisi as long as unaelewa kilichoandikwa.

Acha ya u layman kushughulikia vitu basic. Je wewe upo primary school?
 
Na wewe ulete evidence ya kuwa mama ngina hamiliki hayo makampuni na Hana share kwenye hizo PLC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…