Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Watanzania hawanashobo na wakenya. 🀣 🀣 🀣 Muuliza maswali anajitahidi kujieleza watu hawamwelewi.
😁😁 Wanaona kisa hapa JF tunajua mpaka chupi zao wanafikiri ni kila mtanzania, hawajui Asilimia kubwa ya watanzania hawajui hata kama kuna nchi inaitwa Kunyaland, mtanzania atakupa Habari nyingi kuhusu developed countries huko lakini Kunyaland hakuna cha kukijua
 
Yaani nimechecka sana nilipoipitia hiyo video. Muuliza maswali (Ambaye ni mkenya) anajieleza zaidi ya wale anaowauliza maswali. 🀣 🀣 🀣
 
Watoto kutoka Tanzania ni wazuri sana. Wakenya wanawake wanasura za baba zao 🀣🀣🀣🀣

Maryam Female biker From Tanzania



 
Wanawake wa Tanzania ni wazuri sana. Ndio maana sisi wanaume hapa TZ hatuna makelele.

Jasinta Makwabe from Tanzania. Wakenya mpo?



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…