mombasa254
JF-Expert Member
- Dec 2, 2017
- 1,026
- 215
Kujifanya......nikujidai.unajua.kiswahili na kuna.wenyewe.pwani ya kenyaKujifanya ni nini???
Mngekuwa mnasoma kwa umakini msinge leta kachumbari ya english,swahili,kikuyu,luo na kuita slang.huo ni uchafu.
Wewe jamaa ni msukule.Kujifanya......nikujidai.unajua.kiswahili na kuna.wenyewe.pwani ya kenya
Wapiii....lugha yah Kenya ni kiswahili....... Na...ngosoSasa hiyo ndio muipee kenya ujulikane ulimwenguni ni lugha yenu.
Itakuaje news wakati mliona wageni wote mashuhuri duniani kuanzia Bill Gate, na celebrities wote walimiminika Tanzania mwaka huu, is Thienry Hery still popular?Thierry henry coming to kenya and its not news
Pia Wewe....vivyo hivyoWewe jamaa ni msukule.
mlisherekea SAHKO na WANYAMA...hadi mkaname street WANYAMA..MESSI AKIKUJA SI MTACHANGE JINA YA NCHI IKUE MESSIItakuaje news wakati mliona wageni wote mashuhuri duniani kuanzia Bill Gate, na celebrities wote walimiminika Tanzania mwaka huu, is Thienry Hery still popular?
Mbona Messi alishatemebelea mlima Kilimanjaro na wala hatujasema kitu, Bill Gate amekaa hapa zaidi ya wiki 2 na hatukumpa hata mtaa mmoja, Wanyama zilikuwa ni Bangi za watu wa CHADEMA wanazopewa na rafiki yao Uhuru Kenyatta ndizo zilizowatuma kufanya ujinga ule.mlisherekea SAHKO na WANYAMA...hadi mkaname street WANYAMA..MESSI AKIKUJA SI MTACHANGE JINA YA NCHI IKUE MESSI
ofcos it shouldn't be news...he is a scrap..(chuma chakavu).[emoji23] [emoji23] [emoji23]Thierry henry coming to kenya and its not news
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mbona Messi alishatemebelea mlima Kilimanjaro na wala hatujasema kitu, Bill Gate amekaa hapa zaidi ya wiki 2 na hatukumpa hata mtaa mmoja, Wanyama zilikuwa ni Bangi za watu wa CHADEMA wanazopewa na rafiki yao Uhuru Kenyatta ndizo zilizowatuma kufanya ujinga ule.
Wooooi tower....mbili.....imemfanya.mfungue ii thread. Ati..mpelekane na as...zidini.kukimbiza upepoWakenya endeleeni kusema dar ni 2 tower city. Si tunaendelea kujenga, tunafikisha tower 20 mnaendelea kusema 2 tower city. Reality inakuja kuwa 'hit' tupo tower 50 mnabaki kusema wamefikisha saa ngapi. Endeleeni kukariri mnafikiri hii ni tanzania ile ya zamani.
Uhuru gets rare correction for 'poor' grammar on Twitter - Nairobi NewsWooooi tower....mbili.....imemfanya.mfungue ii thread. Ati..mpelekane na as...zidini.kukimbiza upepo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Uhuru gets rare correction for 'poor' grammar on Twitter - Nairobi News
Angalieni mlivyo na vichwa vibovu, badala ya kumuwajibisha Uhuru kwa kushindwa kupambana na tribalism na corruption, mnakimbilia kumrekebisha kiingereza, mbona mara nyingi tu anakosea kiswahili hamumrekebishi, au kwasababu ameikosea lugha ya mashemeji zenu wanao waoleeni kaka zenu huko USA?
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Another Mall another Cinema in town.
A country in which killing events are taking place daily, many times than those in Tsavo National park among wild animalsPia Wewe....vivyo hivyo
Kiswahili chako mkuu! Tafadhali jaribu kukirekebisha wewe una muda mrefu kwenye hii thread usifanye makusudi kwasababu najua unawaona watz wanavyoandika vizuri.mlisherekea SAHKO na WANYAMA...hadi mkaname street WANYAMA..MESSI AKIKUJA SI MTACHANGE JINA YA NCHI IKUE MESSI