Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yani tumekua kwa siasa na karibu tuko same
Na mnaona mnaenda sawasawa tu au hali yenu yazidi kua bad? Viongozi wenu mpaka wanaifikia hatua ya kuwakataza wafuasi kununua bidhaa Za kampuni flaniflani...msipokua serious mtazidi poromoka
 
Na mnaona mnaenda sawasawa tu au hali yenu yazidi kua bad? Viongozi wenu mpaka wanaifikia hatua ya kuwakataza wafuasi kununua bidhaa Za kampuni flaniflani...msipokua serious mtazidi poromoka
But mbona yenu bad ni 51% hapo mblame president pombe
 
Suspension bridge mnayo?, bypass hamna bado ipo u/c
Dude we don't need a suspension bridge in nairobi, Sawasawa?
You could say Mombasa but then again suspension bridge is not the only type of bridge, we have other bridges... Don't be a daft
 
Njaa imekataa kabisa kuondoka Kenya, imeungana na Corruption, na insecurity kuwa identity ya Taifa la Kenya
 
current situation at tazara...men at work.

the flyover keeps transforming to its sex shape day by day.....hapa kazi tu.
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Nimekaa sana hapo kaka napajua in out hakuna maendeleo hata kidogo😀😀😀😀
hizo zenu mbovu mbovu ndio developed smh.....hii ujanja yenu ya kutuonyesha nyumba moja ya vioo kwa street moja lakini aerial view ya mji inakaa dadaab tunaijua kabisaa.........
 
"wasee" wa mitungi karibuni mpate lunch najua kenya chakula ni shida.[emoji23]

progress ya ujenzi wa pinnacle tower katika kasi ya rocket.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…