Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

That’s what we call political gibberish… throwing word salad hoping something stick … you lose !..🀣🀣
 
Unauliza what's unique about Ruto's visit, ukipewa somo unaleta ujuaji mingi. Sasa unataka uambiwe nini ndio uelewe?

Ukiulizwa tofauti kati ya state visit na official visit pia hujui. Sasa si unaona wewe ni mbishi tu


So many presidents, including Ruto himself, have been to the United States before but this will be the first state visit by an African president in 15 years, and will be Kenya's only third state visit since Kenya got independence. Swali ni je, ni mara ngapi Marais wa Kenya wameenda US since independence? Je, ni mara tatu pekee yake?

Wacha ubishi mingi kijana
 
Ugali watapata wapi wakenya mwaka huu

Mapema leo, Wizara ya Kilimo imesaini makubaliano ya kuuza tani 500,000 za Mahindi Jamhuri ya Demokrasia ya Congo.

Makubaliano hayo yamefanyika baina ya NFRA na Wajumbe wa Jimbo la Katanga, walioongozwa na Gavana wa Jimbo la Katanga, Ndugu Jacques Kyabula Katwe.



 
Kenyan Education is limited. Mama Ngina brainwashed you. 🀣 🀣 🀣 🀣 Ndio Politicians wa kenya wanawadanganya hivyo. Kweli wakenya ni Ng'ombe nimeamini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…