Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kijana amekua desperate, chochote anachopata analeta πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Kusema Malawi wanakiwanja kizuri kuliko makwapa ndo unanichukia
Roho zinawauma kweli 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Malawi ana CAF approval wakat wazungu weusi hamuna hata aibu kaaahπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Kijana amekua desperate, chochote anachopata analeta πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Kwa vile ni cha kweli ndio kinawatoa roho

Kenya 2024 inakimbilia Malawi what a shame, wazungu weusi kila mwaka ni tabu Tu kwenu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwa vile ni cha kweli ndio kinawatoa roho

Kenya 2024 inakimbilia Malawi what a shame, wazungu weusi kila mwaka ni tabu Tu kwenu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Are you aware that Makwapa Stadium is grant from China?
 
Leo wazungu weusi wanashangilia Malawi na hawana hata aibu 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣

Kweli mchawi mpe mwanao amlee πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ

Aibu mbaya kuwahi kutokea kwenye dunia hii, walikua wanadanganya watu kua wao wako sawa na Singapore haya kiko wapi SASA, kila kitu kwao ni failed
 
Are you aware that Makwapa Stadium is grant from China?
View attachment 2993535
Navojua Tanzania has 3 CAF approved stadium so far kwenu ziko ngap??🀣🀣🀣🀣

Sijawahi kuona stadium moja inafanyika renovations mara mbili within 3 yrs πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Shikmoo wanasiasa wote wakenya πŸ˜‚πŸ˜‚
Shikmoo waziri ababu
 
Ichopedia… Mkapa and Amani are the only 2 real stadiums in Bongo… zingine zote ni cowsheds..🀣🀣🀣
CAF wanatambua stadium 3, wewe na CAF Nani anajua zaidi???πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Na inakuaje uumie namna hii eti mzungu mweusi, aibu zinawadinya SASA vile mulizoea kudanganya watu na sifa za uongo
 
Hamutaki na hamuna CAF standard stadium so far alaf 2024 πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Wazungu weusi walidanganywa wako level za singapore na Malaysia, Leo wanashuka hata Malawi inawatoa jasho
Yaani wanaenda kucheza kwenye least developed country in the world ama kweli kiingereza kingi ni bure kabisa 🀣🀣🀣🀣
 
Sio jambo la kushangaza hilo kwa Kenya hata SGR to Malaba huwa wanazindua mara mbili mbili na bado iko kwenye makaratasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…