ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,308
- 89,713
Kundustan hamuiwezi Dom tulieni hivyo hivyo 👇👇Someone said that Dodoma's roads can compete those at Konza. Una CCM walivyofanya Watz kuwa mazuzu!?
Ona barabara za Konza
View attachment 2987660
Binafsi nataka azam ashindwe kuonyesha ligi ya kundustanKati ya KBC na Azam TV ipi ina vifaa vya kisasa HD?? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Kubalini ukweli kua Azam TV ndio kaipandisha Sana league yenu Mulikua mushapoteana na Kwanza KBC alikua wapi before Azam TV??
Pole pole tu. With time, Lamu Port will become the biggest on the East Coast of Africa.Thank you Ethiopia. Laps set is coming to fruition.
View: https://x.com/StandardKenya/status/1789206310900101420
Day DreamPole pole tu. With time, Lamu Port will become the biggest on the East Coast of Africa.
Sasa inatakiwa ujiulize swali dogo tu, kama mna streaming channel nzr why Azam akaja ku take over huko kwenu? Mwaka wa 2024 na bado foreign broadcaster ana take over kwenye soccer industry yenu? Sisi huku kwetu tulimtoa msauzi tukamuweka mzalendo nyie mpaka leo mnampa haki zote mgeni really? Na ameingia mkataba wa pesa nyingi $7.6M pesa ambayo hakuna channel yoyote inaweza kutoa hapo Kenya.They are always lazy and don't do thorough research 😂😂.
This is a little known and upcoming streaming channels.
View attachment 2987592View attachment 2987597
Daily dose 👇👇Three international conferences in Nairobi in a week. Dar es Salaam can only dream.
View attachment 2987648View attachment 2987649View attachment 2987650View attachment 2987651
AVA is assembling more than 3,000 vehicles in a year.
Wavumilieni wamechanganyikiwa Sana 😅
Yani wameumia Sana na hii taarifa 😅😅😅
View: https://twitter.com/TanzaniaInsight/status/1788835146331820302?t=cd3TMJ09aIshZl9tCAnM7g&s=19
Makwapa
Aman
Azam Stadium
Makwapa na Aman ndio at least zimejaribu. Zingine zote kuanzia Azam ni shamba ya kupandia ndizi😂😂
Tunazidi kuwapelekea moto wakenya.
Sawa lkn kwa sasa haiwezi kuifikia Azam hata iweje mzee, KBC ni government owned, Azam ni private owned kiafrika Africa shirika haliwezi kushindana na private company hata iweje mzee.KBC was doing live transmissions before my mum was born.
View attachment 2987653
Manchester City is sponsored by Etihad airways while there are bigger companies in UK than Etihad Airways ningekuambia ujiulize lakini najua your foolish and you can't think beyond food and uzalendo.Sasa inatakiwa ujiulize swali dogo tu, kama mna streaming channel nzr why Azam akaja ku take over huko kwenu? Mwaka wa 2024 na bado foreign broadcaster ana take over kwenye soccer industry yenu? Sisi huku kwetu tulimtoa msauzi tukamuweka mzalendo nyie mpaka leo mnampa haki zote mgeni really? Na ameingia mkataba wa pesa nyingi $7.6M pesa ambayo hakuna channel yoyote inaweza kutoa hapo Kenya.
KBC ipambane na TBC period. By the way TBC ni bora kuzidi KBCSawa lkn kwa sasa haiwezi kuifikia Azam hata iweje mzee, KBC ni government owned, Azam ni private owned kiafrika Africa shirika haliwezi kushindana na private company hata iweje mzee.
Ukinionyesha siku tumechezewa games zetu za home Malawi nahama JF. Just show me a single home game tumecheza Malawi.Vyakwenu viko wapi mbona mnaenda Malawi kuomba uwanja wa kuchezea
But KBC is bigger than Azam. KBC is injecting more money in Kenyan league than Azam.Sawa lkn kwa sasa haiwezi kuifikia Azam hata iweje mzee, KBC ni government owned, Azam ni private owned kiafrika Africa shirika haliwezi kushindana na private company hata iweje mzee.