Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hoyo Azam logo inamaana Azam tv ni content creator na wanapokea mpunga wa maudhui! KBC hawana OBI vans na equipments za live transmission.
KBC has been doing live stream hata before Azam ianzishwe. Azam ni mtoto kwa KBC.
 
Hiyo map imeandaliwa na kunyan,yan wanatamani kuwa kama sisi,juzi kati kuna m1 nilikua nae aliniambia sasa hivi kwa mkenya kununua kiwanja TZ ni rahisi,kuna wenzake wamenunua tanga huko,nikajua tu nae anaingia kwenye kutapeliwa
 

Attachments

  • 26a960c19bd669d5a24daade766ed80f.mp4
    329.2 KB
Watanzania wanetoka from Azam pekee ndio inaonyesha live matches za ligi ya Kenya to Azam pia wanaonyesha game😂😂.

For your information, KBC has been given the priority and then ndio Azam inafuata.
 
Ndivyo mulidanganywa Kenya hakuna camera HD 😅😅😅
Kuna siku nilipost zingine hapa wakisema ni za Azam😂😂😂.

Ukaiangalia streams zote za Azam zinakuanga cloudy, KBC streams are all clear.
 
Bila kupoteza muda tunaanza kama ifuatavyo

Arusha Region

Nick name yake inaitwa R Chuga au A City
Huu mji upo strategic kwa lengo la kupambana na Nairobi. The real battle of Nairobi is Arusha. Na in near future Arusha inaenda kuipita Nairobi in all aspects.



Arusha ni lango kuu la kuingilia Hifadhi za Taifa za Serengeti, Ngorongoro, na Kilimanjaro. Utalii ni sehemu kubwa ya uchumi wa Arusha, na hivyo kuna shughuli nyingi zinazohusiana na utalii kama vile huduma za malazi, usafiri, na vivutio vya utalii.
 
I skip Dar es Salaam Region and Dodoma Region

Geita Region
Geita ni moja kati ya maeneo yenye uchimbaji mkubwa wa dhahabu nchini Tanzania. Kampuni kubwa kama Geita Gold Mine (GGML) inaendesha shughuli zake hapa. Uchimbaji wa dhahabu unachangia kwa kiasi kikubwa katika pato la mkoa na ajira kwa wakazi wa eneo hilo.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…