Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Just tell him that Kenyan SGR trains are faster than their trains alafu uwaweke zile speedometer. Hatakujibu tena😂😂
 
Rudi kwenye topic Kwanza nipe tofaut ya economic sense ya bus na SGR difference ya 1hr 😅😅😅😅😅 na still SGR iko outside the city ni lazma utafute usafiri 30min again to town

Piga mahesabu uone je nikweli 470km unaenda 6 hrs with 120 speed au ??😅😅

Nani Hana modern and beautiful terminals au unadhani dunia inazunguka Kenya pekee

Huwez kwenda 200km/HR alaf ukatumia 6hrs kwa 470km unless akili yako iwe inafanya mahesabu ya 1+1= 11😅😅😅😅😅
 
It's clearly written "partially demolished"

Hiyo Kingereza rahisi huelewi?
You partially demolish a building, ili watu waje kuumia 😂😂😂😂.

What is wrong with you Kenyan.

Yaani mnashida gani na kufanya mambo kwa ufasaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…