Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

There is a big difference between Kenya and Tanzania. Tanzania builds a city and installs several government buildings with no economic impact. Like Dodoma. Kenya on the other hand builds cities with economics touch. Cities that employ people and sustain themselves while growing economic. Eg Tatu City, Konza City, Tilisi, etc.
 
Acha nae Huyo mzee unapoteza muda bure hawezi kukubali kwa sababu anaumia Sana na ni kweli inaumiza hata ingekua ni mm😅😅😅
Niumizwe na kampuni inunganisha lory mbili kwa siku?😂😂😂

 
Ukiniwekea link ya hiyo plant naondoka jf.
Brother achana na hilo zwazwa. Unapoteza nguvu zako. Ignore him. Wewe weka vitu vizuri vya Tanzania. Anacho kifanya ni kuweka comments nyingi ili kuzifunika comments zetu za muhimu.

Huyo jamaa bado ni primitive sana. Anadhani watu wanapitia kusoma comments zake hapa JF.

Hilo jamaa ni bonge la stupid.
 
Tumewaacha mbali kwenye soccer, ligi yetu ni ya 6 kwa ubora Africa utake usitake, channel yetu ya Azam ndiyo inayowasaidia kuinua soccer huko kwenu, hakuna battle yoyote ya soccer kuhusu Kenya na Tanzania hakuna.
Kwa sasa tuko kwa vehicle assembly tuliza kalio manake pia kwenye football mko namba 120
 
Konza na tatu ina over 18 good years yet hata 1% of its render hamujakamilisha,

Alaf dodoma ni government city usifananishe na ujinga wako, tatu na konza ni miradi ya foreigners wanaoekeza ila dodoma government city ni mji wa kisasa WA kiserekali unafananisha nn hapo?? Au we kwa akili yako unafkiri dodoma hakuna miradi ya kimaendeleo kuna hoteli kila Kona zinajengwa, new modern airport, new modern electric SGR, modern bus terminals, modern market, modern city bus terminal etc , dodoma alone kuna miradi mingi na mikubwa kuliko Kenya nzima mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…