President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,657
- 94,305
Unatamani iwe hivyo.? 🤣🤣In Kenya, it is always about making money. Big money, big business. In Tanzania is about "Jirani kafanya nini. Sisi tumemmshinda jirani."
View attachment 2985236
Tanphobia inaendelea kuwala wakenya. When you choose your opponent, choose wisely.No restrictions on Eastleigh now. You won't believe what Eastleigh is going to be in a few
View attachment 2985250
Those are just wooden benches. There are no seats there😂😂
Sasa tumuamini nani? Wewe unayesema 1.5 million ama yule kilaza mwenzako anayesema 2.5m?View attachment 2984820
Wadanganye hao hao,mukuru kwa njenga population yake ni zaidi ya 300.000
Hili ni Jaruba la kufugia Vyura kwa ajili ya Soko la China😂View attachment 2985291
Huu uwanja au shamba la miwa?
Earning how about profit?In Kenya, it is always about making money. Big money, big business. In Tanzania is about "Jirani kafanya nini. Sisi tumemmshinda jirani."
View attachment 2985236
Unahangaika mwenyewe kuwatetea Watu wa nyumba za mabati na tope pale Nairobi!Broo, a poor quality house is a poor quality house, iwe ya mabati ama tofali. There is absolutely no difference between someone living in this house and someone living in a mabati house. Some mabati houses are very nice btw.
Alafu yafaa ujue Kenyan slums are illegally built on government land so people can't risk building permanent houses on land that can be repossessed any time. That's why most of them are mabati houses.
Mbona unasumbuka kupigia mbuzi guitar? Let them believe what they've always believed is the truth, common sense notwithstanding.We've shown you this a million times on this thread, you simply choose to deny it.
This is the population of Kibra Subcounty based on the 2019 Census.
View attachment 2985126
Hapo kwa Kibra Subcounty kuna the following locations.
View attachment 2985132
Kwa hizo Locations, Woodley/Kenyatta Golf Course ndio kubwa zaidi kwa eneo na sii slum. Lina regions kama Upper Hill ambayo ni commercial Center, Woodley, Mimosa na Golf Course ambayo ni mitaa ya Kifahari na Ngumo, Jamhuri amabayo ni middle class. Ukitoa hiyo mitaa population ya Kibera slum haifiki 150k.
Mimosa
Upperhill
Woodley
Ngumo
Jamhuri
Source
Kenya National Bureau of Statistics - Kenya's Top Data Site
Kenya National Bureau of Statistics is the Kenya Government's principal agency for collecting, analysing and disseminating statistical data in Kenya.www.knbs.or.ke
Natumai hatutorudia hili swala tena humu.
Makazi ya Kibera, Mathare na sijui Mukuru kwa nini yanawaumbua sana nyang’au😎Mbona unasumbuka kupigia mbuzi guitar? Let them believe what they've always believed is the truth, common sense notwithstanding.
Inawaumiza sana kuona jiji lao ilivyo mbovu kimpangilio na muonekano wanatafuta pa kufutia machozi and that's where Kibera comes in
Alaf wanasubiri CAF approval 😅😅😅😅View attachment 2985291
Huu uwanja au shamba la miwa?
MyTown Karen
It's all over the News bongolala. The first company in the region to hit a billion dollar operating profits.Unatamani iwe hivyo.? 🤣🤣