Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,805
- 41,709
Kabla haujanda kutafuta hiyo best stadium ya hapo SA mimi lishafanya research mbwa wewe. Haya kula chuma hizo. 👇 Nigeria stadium. ModernSo huu uwanja wa Nigeria uliyosema ni better than any other in SA ni nzuri kinmuinekana kushinda Soccer City Stadium, and Moses Mabida stadium in South Africa?View attachment 2982810
VsView attachment 2982813
You are now getting desperate. Kalale
Haya tumia Google ikusaidie, ulisema Tz tuko na indoor arena ngapi.?Thanks for asking.
Ulinzi indoor Arena.
View attachment 2982818
View attachment 2982819
View attachment 2982820
Nimeuimba huu wimbo muda mrefu sana!! Hili shirika apewe mtu mwingine!!!mpango wa kuwa na aviation academy yao uliishia wapi? Mi naona Matindi viatu vya CEO ni vikubwa kwake! Yupo slow sana!
Thanks for asking.Heb post hizo arena za ulinzi na Nyayo. Tucheke 🤣🤣
Ulisema kuna makosa pale mwaqnzoni , hivyo ulitakiwa ufafanue hayo makosa. Hukufanya hivyo mpaka sasa zaidi ya kuingia huku na kutokea kule.I showed you your mistake in a different post and spent time explaining to you like a primary school kid why you are wrong and what you should correct, but instead of learning, you arrogantly responded with ''There is nothing I can learn from you.'' Tell me why I should waste more time teaching someone who refuses and is incapable of learning.
Hamna indoor Arenas Tanzania.Haya tumia Google ikusaidie, ulisema Tz tuko na indoor arena ngapi.?
Stop forcing issues. You don't have an indoor arena in Tanzania. Or you probably don't know what an indoor arena isWewe umetaka tukutajie nini!?
Mbona kama mwanamke malaya hueleweki!?
Oky so now tumia Google uiulize Amani indoor Arena and BW Mkapa indoor arena. Then njoo hapa.Hamna indoor Arenas Tanzania.
Empty talker 🤣🤣👇Stop forcing issues. You don't have an indoor arena in Tanzania. Or you probably don't know what an indoor arena is
Nimetafuta sijaona kitu. Mbona hutaki kuzipost? Ama they are non existence 😂😂Oky so now tumia Google uiulize Amani indoor Arena and BW Mkapa indoor arena. Then njoo hapa.
This is not an indoor arena😂😂. Show us the changing rooms, show us bathrooms.
👇BW Mkapa indoor stadiaNimetafuta sijaona kitu. Mbona hutaki kuzipost? Ama they are non existence 😂😂
Hii ajabu🤣🤣🤣 ukila kichapo ni kawaida yako kubadili mada.This is not an indoor arena😂😂. Show us the changing rooms, show us bathrooms.
Hizi ni nini unapost? Kawaida haina viti😂😂😂
Wewe tena.? 🤣🤣 kwahyo watu wamekalia nini hapo mzee.?Hizi ni nini unapost? Kawaida haina viti😂😂😂
🚮 🚮Ulisema kuna makosa pale mwaqnzoni , hivyo ulitakiwa ufafanue hayo makosa. Hukufanya hivyo mpaka sasa zaidi ya kuingia huku na kutokea kule.
Kichapo gani? Unatupostia tent ati ni Arena.😂😂😂Hii ajabu🤣🤣🤣 ukila kichapo ni kawaida yako kubadili mada.
Wamekalia mbao.Wewe tena.? 🤣🤣 kwahyo watu wamekalia nini hapo mzee.?
Kila kitu kimeshakamilika halafu eti watu wasubiri mpaka mwakani, huu ni ujinga!! Kama hawawezi basi wawape kampuni binafsi.
Mnahamisha magoli!?Stop forcing issues. You don't have an indoor arena in Tanzania. Or you probably don't know what an indoor arena is