Your Tourism revenue are from Kenyans. Ama hujui wakenya ndio watali wengi wanaokuja Tanzania?
That should tell you thatβs Tanzania isnβt known beyond East Africa.Tumewaita mje na wakati utalii wenu unakufa
That should tell you thatβs Tanzania isnβt known beyond East Africa.
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Hivi kweli huyu yupo kwenye hili likonokono na ameshaexperience ukobe wake lakini yumo humu kutoa likes na support kwa bibi titi namna anavyoonesha hana akili zaidi ya maziwa kwa kulinganisha kifo na usingizi, unaejijua hii picture ni yako nakupa karipio kali ukiendelea nakuanika, leo nilikua na kazi 1 tu ya kukudukua na maisha yako yote ninayo kwenye gallery π
View attachment 2974850
Huyu VCDF ni mlemavu auuKenyan VCDF
View attachment 2974851
Aisee ni aibu kubishana na Kenya kuhusu SGR
Bertin kawapiga na kitu kizito nimesoma comments wamejaa kwenye mfumo πππ mmoja kasema GDP ya Tanzania ilidogoshwa nikasema bado hamjasema πAisee ni aibu kubishana na Kenya kuhusu SGR
πππKumbe kijamaa NairobiWalker kinaishi maisha magumu namna hii? Miaka yote kinajishaua tu humu!
hiki nini?Now that we have ascertained that Kenyan trains are faster than Tanzanian trains.
Letβs now wait and see if their toy cargo trains can do this.
View: https://youtu.be/xXdpFpDqng8?si=UqKKDcX9Ti8LBnoL
Yaani bora tuongee vyote ila Wakenya wasije jaribu kulinganisha Stand zao na zetu, we are atleast 20 years ahead.
Huwa wanatamani sana kutujuaππ.πππ
Naona ni wengi humu nawaumiza daily Hadi wanawish nifanane nao. Mimi nimewai share picha zangu humu kwa hiari yangu na nikitaka nitazishare tena kwa hiari yangu. Hakuna mtu humu ambaye ana uwezo wa kuzipata picha zangu na kuzishare humu bila hiari yangu especially na hii tech knowledge yenu uchwara. Mtaokota picha za watu mitandaoni mkijifurahisha humu wakati Mimi nacheka tu.ππ
Utajuaje na hujaiona double stacking in your entire life?hiki nini?