Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakenya terminals zenu nzuri sana tena sana...shida ipo kwenye treni yenu na speed yake๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
If you use common sense huwezi fananisha diesel engine vs electric train
But Our diesel engines are faster than your electric engines๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Kwenye station ndio usiguse kabisa

Mnajifanya hamjaona station ya Dodoma
Tanzania mko tu na stations mbili. Dar na Dodoma which are also underwhelming if compared with Nairobi or Mombasa stations.
 
Wakenya akili mlikosa.

Hii station ni sawa and unavoingia kwenye ndege. unanyeshewaje wakati train zinakuja na kuondoka kwa muda uliopangwa
Whatโ€™s the length of your trains? Whatโ€™s the length those boarding shade? Are their lengths the same to you?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Kusoma pia hujui? Then you need prayer๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Nakusihi rejelea kusoma tena.
Hiyo article haielezei main distance kuwa ni 400+kms from Dar to Dodoma.
Shida unajua kiingereza ila huelewi kusoma.
Kujua lugha na kuelewa ni mambo mawili tofauti.
Soma kwa uelewa.
 
Nakusihi rejelea kusoma tena.
Hiyo article haielezei main distance kuwa ni 400+kms from Dar to Dodoma.
Shida unajua kiingereza ila huelewi kusoma.
Kujua lugha na kuelewa ni mambo mawili tofauti.
Soma kwa uelewa.
Unalia ukiwa wapi?

 
When did 100km/hr train be equal to 160km/hr train?
When did a diesel powered train become faster than electric train?
Are you a visitor in this thread?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Kenyan trains can go up to 200km/hr. We also have za 300km/hr๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ