babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,429
- 36,046
Yule Joyce tulifanya akatawala awamu moja naona na huyu wa sasa hivi na yeye anataka atawale awamu moja, joke. 😂😂😂Nyerere alimwambia kamuzu Banda kuwa kama ziwa ni la Malawi basi wanatakiwa kulipia kila wimbi ya maji linalo gusa pwani yetu.
You're asking the wrong person, who is not well informed on matters concerning the border dispute between Kenya and Somalia.Why is it okay for you to explain why Tanzania is right on the issue but when someone explains why Kenya is right on the Somalia issue mnasema Kenya tuna ugomvi na majirani?
Kwanza inaonekana huelewei kitu.😎Ndugu kivipi wakati hii mipaka imechorwa na wazungu? Sasa unataka useme Mnyakyusa wa Tanzania ana undugu wa damu na Mnzanzibari Mwarabu...
Well, my question is based on your ndugus assertions that Kenya does not get along with her neighbors and border disputes are what they used as examples.You're asking the wrong person, who is not well informed on matters concerning the border dispute between Kenya and Somalia.
Can you speak English?Kwanza inaonekana huelewei kitu.😎
Sina huo ugonjwa wa kinyang'au😎Can you speak English?
Then sit down. This discussion is for English speakers.Sina huo ugonjwa wa kinyang'au😎
Upuuzi mtupu. Hebu nitolee ulimbukeni wako huko. So you really believe that I do not understand your slave master's language?😎Then sit down. This discussion is for English speakers.
English Speakers. Subwoofer au? 😁 😁 😁 😁 (This discussion is for those who speak English). Jitahidi kuandika lugha ya watu vizuri.Then sit down. This discussion is for English speakers.
Huyu nyang'au NairobiWalker bado ana mawazo ya kizamani sana😎English Speakers. Subwoofer au? 😁 😁 😁 😁 (This discussion is for those who speak English). Jitahidi kuandika lugha ya watu vizuri.
View attachment 2971058
Wengi wetu tulijua kwa jirani kuna derby wakati Azam anaonesha derby ya Kariakoo akaipa promo derby yenu.Endelea kujiliwaza
We mpumbavu usiejua historia Zanzibar imejaa wanyamwezi kibao. Jifunze kwanza historia kabla ya kuja kupayuka hapa.Ndugu kivipi wakati hii mipaka imechorwa na wazungu? Sasa unataka useme Mnyakyusa wa Tanzania ana undugu wa damu na Mnzanzibari Mwarabu kuliko Mnyakyusa wa Malawi? Wacha kufikiria kama kuku mgonjwa.
Ona huyu nyangau anaongelea kuhusu infrastructure anafikiri hiyo train inapita kwa hewa. Aseme tuu kenya lacks infrastructure to operate electric trains wala asi generalise other Africans and make them at par with their underdeveloped rail infrastructure. Sisi tumeshatoka huko kwenye nginjanginja na hakuna developed country yoyote inayoweza kututambia kwenye electric trains na infrastructure zake.
Tena ile ishu ya Nyerere bridge ilizua tafrani.
Yani ile siku daraja linazinduliwa tu na picha kurushwa mitandaoni,wakenya lukuki wali edit picha na kudai hilo ni daraja la Mombasa aiseeee!?
Aya ya Olduvai gorge yule dada Mpumbavu anaongea mbele ya hadhira akisema kasoma Olduvai gorge iko Kenya,asa sijui syllabus gani hiyo.
Go learn English and come back.Upuuzi mtupu. Hebu nitolee ulimbukeni wako huko. So you really believe that I do not understand your slave master's language?😎
Write in Kiswahili maybe I might understand you😎Go learn English and come back.
Sasa nani ameongelea Wanyamwezi? Shida yenu ni ugonjwa wa akili.We mpumbavu usiejua historia Zanzibar imejaa wanyamwezi kibao. Jifunze kwanza historia kabla ya kuja kupayuka hapa.